Vurugu zisizoisha kitongoji ninachoishi Afrika Kusini


Sijaifikiria tanzania ila siku nikiamua sitoshindwa chochote maana biashara ninayo idrave South Africa kama akili zako mbili hauwezi imudu
 

Siku hizi kupata pasport ya kisouth Africa ni big issue mkuu sio rahisi kama zamani
 

Ni kweli kabsa jamaa wana makabila 7,8 au 9 ila hawawezi kuishi sehemu moja uwa wapo kimakundi ukisikia hapa kuna wa Xhosa ujue Africans watakuwa sehemu tofauti kabsa Na wa xhosa yaani hawana muunganiko kabsa

Watanzania/Bantu ni zawadi kutoka Kwa Mungu sisi yeyote tu tunaishi nae
 
KWani wazawa hawana biashara huko mpaka nyie mkifunga mpaka wafate town bidhaa au huduma??

Wazawa wanategemea kazi hawaamini kwenye biashara wao wanakuwa wanafanya kazi mashambani kwa wazungu , au ujenzi na kazi nyingi zingine hata wao wenyewe kwa wenyewe wakifungua duka unakuta hawaendi kununua Kwa mwenzao wanakuja kwako sijui kwann!!

Wageni wengi ndio tunaamini Na tunafanya biashara tofauti tofauti
 
Ndg hakuna chenye thamani zaidi ya maisha.
Maisha hayo ni yakubahatisha, fanya uamuzi wa haraka. Riziki ni popote, amini atapoenda inaweza kuwa ni sababu ya kutokakimaisha

M/Mungu atujaalie uhai tu mkuu ntaingia canada tu InshAAllah
 
Duh! Mtihani sana!
Huo mziki sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…