Vurugu zisizoisha kitongoji ninachoishi Afrika Kusini

Uko sahihi

Yupo sahihi kwa vilee pengine haujaamua kuchunguza uliposafirigi kuja South Africa lakini ungeamua kuchunguza ungejua sio watu wote au wageni wote wanaofanya hizo inshu huku ughaibuni, japokuwa wapo wanaofanya ila sio wote wengine tuna shughuli tofauti kabsa na hizo
 
Makazi ya SA yapo kulingana na rangi ya ngozi (races), utaratibu huu upo tangu zamani sana mwaka 1913. Baada ya uhuru mwaka 1994, watu weusi wanaruhusiwa kwenda kuishi ktk makazi ya watu weupe(wazungu). Ni kwa nini basi nyinyi wageni wahamiaji weusi msiende kuishi ktk makazi ya watu weupe (wazungu), sehemu ambazo zina usalama mkubwa zaidi kuliko huko wanakoishi watu weusi?? Kitu gani hasa kinawazuia msiende kuishi kwenye maeneo wanakoishi wazungu??? Hizo vurugu mnazofanyiwa na wenyeji weusi huwa mnazitaka ninyi wenyewe kwa kufanya uamuzi mbaya wa kuchagua sehemu mbaya na za hatari za kuishi.
 

Hivi unaweza kuwa class sawa na mzungu mzee hata kwa hapo Tanzania?

Ukweli usemwe

Unashindwa kuishi sehemu anayoishi mzungu kwa Tanzania utaweza kuishi sehemu anapoishi mzungu South Africa- au unaona easy ku type mkuu

Kama umeamua kuandika watu wasome ili waburudike andika tu sio mbaya ila kama umeandika really Sawa endelea kuandika pia
 
We souz ujawh kwenda izo sehem wanazoish makabur usalam upo cz wanapga sana pin kuingia maniga ukaguz mwng id na ujulkane unaend fata nn mgen wa nan pak mtu akuinvite uwez kwend tu kienyej na kuish ghal sn wamefanya il kupga pin watu weus uko wanakaa weus weny hela ambao awana shida kupga kwao pin ndio kunafanya we upaone kuna aman wangekua weus wanajazan kiholela ingekua km soeto tu
 

Ni kweli na ni gharama sana sio rahisi kama mtu anavyofikiria
 
Ni vilee bint tu ila ungejua vilee mwanaume anatakiwa force mpaka afanikiwe ungenipa moyo tu

Nna vingi sanaa vya kulipa ikiwepo mahari ambayo wewe hautoisikia wala kuilipa kipindi unaolewa au ulichoolewa
unaweza kupambana kwengine kwenye usalama zaidi.
 
Labda uende Capetown ukaishi maeneo ya mjini kabisa penyewe kidogo usalama ni 30%nje ya hapo njoo Zambia Canada ni pa kawaida hakuna maajabu ila pia ukija dar napo sio mbaya angalau kwenye Moja na mbili unaishi
Yote uliyoeleza kuhusu SA ni kweli nimeishi hapo na namna nilitoka salama ni Mungu mwenyewe anajua
 
Punguza ukali wa maneno mkuu....umenyoosha ukweli mno🤭
 

Ndugu yangu, nimeandika kwa kumaanisha kabisa tena nikiwa na ufahamu mkubwa wa kutosha kuhusu South Africa. Mara nyingi nimekuwa nikisafiri kuja SA, siyo hivyo tu lakini pia nimewahi kuishi katika miji mbalimbali ndani ya SA.
1. Jo'burg (JHB), nilikaa ktk maeneo mawili:
i) Rosebank area: along Jan Smuts Avenue, jirani kabisa na Ubalozi wa Uingereza kama unaenda Randburg.
ii) Saxonwold, Houghton Estates, jirani na Johannesburg Zoo

2. Bloemfontein (BFN), in Mangaung Municipality.
Hapo nilikaa ktk eneo linaloitwa Dan Pienaar na eneo lingine liitwalo Westdene (Brandwagg)

3. Cape Town (CPT), nilikaa ktk eneo linaloitwa Camps Bay, Hely Hutchinson Avenue, either South Beach au Eastern Beach(sina uhakika sana kuhusu hili kwani sikumbuki vizuri kama hilo eneo hasa ni beach ya upande upi, South or East?).

Wakaazi wa maeneo hayo asilimia kubwa zaidi (takribani asilimia 98+ ni weupe (wazungu), watu weusi tulikuwa tunahesabika. Naamini mpaka hata siku hizi hali hii bado inaendelea kuwa hivyo, kwanza huko hata majirani tulikuwa hatujuani, kila mtu yupo busy na mambo yake.

Muhumu kuzingatia: Tafadhali, Kamwe USIKURUPUKE kutoka ktk nchi yako na kwenda kuishi ugenini kwenye nchi za watu bila ya kujiandaa kisawasawa. Kabla ya kuondoka nchini kwako hakikisha unajianda vizuri ili usiwe mzigo au public charge ktk nchi za watu, panga mipango yako vizuri. All in all, tuzingatie sana sana suala la ELIMU, ELIMU, ELIMU, ELIMU!!
 
Mtoto wa balozi wewe huwez kuelewa harakati za wanyonge kuukana unyonge ,ulichoingea ni sawa uende somalia ukawahamasishe kupambana na utapiamlo ni lazima wahakikishe wanapata mayai maziwa na samaki katika Milo yao as if wao hawajui au hawapendi ivyo vitu
 
Punguza ukali wa maneno mkuu....umenyoosha ukweli mno🤭
Amezungumza ukweli mtupu, tena ukweli mchungu kuhusu huko kwenye makazi ya watu weusi ndani ya SA.
Huko kufa ni nje nje, na maiti za watu wanaouawa kwa risasi au kukabwa kwa siku idadi yake inatisha sana. Mfano, ndani ya jiji la Johannesburg tu pekee, idadi ya watu wanaouliwa kwa siku ni wastani watu 230(hii iikuwa takwimu rasmi kabisa ya Serikali/Jeshi la Polisi (SAPS) kwa mwaka 2016.)
 
Ungejua wala hata usingesema hivyo, narudia kusisitiza kwamba KAMWE USIKURUPUKE kwenda kwenye nchi za watu kabla haujajiandaa ama kujipanga sawasawa, Usithubutu kufanya hivyo, hususani kwenda kwenye nchi hizo za kibepari zilizoendelea.
Jipange Kwanza kisha ndio uende.
Tatizo kubwa kwa Watanzania wengi wanaoenda SA ni wale ambao HAWAJAJIANDAA VIZURI KWENDA KUISHI MAISHA KATIKA MAZINGIRA YA UBEPARI, Hilo ndio tatizo kubwa zaidi kwao.
Tusidanganyane, kuishi ktk nchi za kibepari siyo kazi ya lelemama, lazima ujiandae kisawasawa kiakili, kiafya, kielimu, kimwili, kisaikoojia, n.k. Msisitizo mkubwa zaidi ni ELIMU, ELIMU
 
Dunia ya leo ya sasa Habari kutoka majuu bila picha/video clip sawa na takataka tu
 
Hivi we jamaa inakuwaje unaingia ugomvi na migogoro ya Mara kwa mara na yule kilaza wa kuitwa Genta..?

Nikisoma michango yako, yule jamaa Namwona Mtu fulani very primitive,mwoga mwenye kuogopa kuchangia nyuzi za watu maana hana content Wala anachojua zaidi ya kujisifu na matusi. Mtu aliyejificha kwenye kivuli Cha kuanzisha threads kila saa na kuijiona ana akili kuliko wote Kumbe kilaza mkubwa...Yani bonge la fala aliyejificha uswahilini kawe ukwamani.

Nikiona michango yako ambayo ni very +ve,naishia kustaajabu unapoingia kwenye migogoro ya mara kwa Mara na yule mse.. ambaye anawekwa kwapani na mods kwa kuishia kumpa ban ya wiki.
 
Watanzania sio wote wabantu ujue. Wamasai,wajaluo, wahazabe,wasandawe sio wabantu.
Ila wamechanganya damu na wabantu kwa kiasi fulani baada ya kuishi pamoja kwa karne za miaka. Ndio maana ni rahisi kumtambua masai au mjaluo akikaa na wabantu ila sio rahisi kumtambua msukuma akiwa na waha au na muhehe mpaka aongee kwa sababu ni kundi moja japo wanatofauti ndogo ya kimaumbile kutokana na mazingira.
 
Daa, maisha haya bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…