Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
ARV ni kama dawa zingine. Daw yoyote ile ina madhara either adverse drug reactions au side effects. Dawa zote zile ziko hivyo. Kuanzia Panadol, dawa za presha, sukari nk. Ili kujua hilo ndio maana watumiaji wa dawa wakuwa monitoredNa why watu wakiacha kutumia dawa wanakufa
Je dawa zina reaction gan katika kuzalishwa kwa cell zingne baada ya mtu kuacha
Na kwa nn weng wanaotumia dawa hizi kufa kwa presha ?
Pitia thread zangu za mwanzo angalau utaona hata cheti changu cha form four.. najua ukiambia ulete cha darasa la saba utakuwa mtihani. Nafikiri unaweza kujua mimi ni mtu wa namna gani!Acha kujibu kijinga mkuu watu wamesoma na ww umepewe semina na ukalipwa acha kuleta matango pori yako izo concept na dawa zako pelekeaa ndugu zako
Elimu uliyopata imekusaidia kujua kusoma na kuandika tu. Sidhani kama unaweza kuchambua mamboNa Mimi nashangaa anavyokujibu kiswahili swali la kisayansi... very foolish huyu jamaa
Wanaokosa hiyo """CCRK5""" wana matatizo gani?Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
Mkuu wa Kazi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] anamuuliza Mkuu wake wa Kitengo[emoji2]Nimeyafatilia maswali yake yote ila anauliza si kwa kutaka kujua bali kutaka kupima uwezo wa mtu si mbaya utu uzima dawa mjibu kwa hekima kuu naamini atatoka berenge mwenyewe usikute wew ndio mkuu wake wakazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muache [emoji23][emoji23]jf unaweza ukawa unajibizana kumbe unajibizana na mkuu wako wa kazi ikawa tabu kweli kweliMkuu wa Kazi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] anamuuliza Mkuu wake wa Kitengo[emoji2]
Tatzo huna scientific explanation na umebase sehemu moja tu watu wanywe ARVs peke ake
Kama kwel wee mwanascience go wide acha kuandika sirahs rahs tu
Majibu ya semina ayo
Umeiva lakn
Hiyo ni ya kurithi wengi watu wa visiwa vya Caribbean, sub tribe moja Kenya, familia moja Brazil...Wanaokosa hiyo """CCRK5""" wana matatizo gani?
Ukiikosa unakuwaje? Hamna njia ya kitaalamu kuiondoa hiyo CCRK5 ili watu wote tusiwe tunapata Ngoma?!?!?!
Kama tu haitakuwa shida/tatizo kutokuwa nayo?!
Vipimo vimavyotumika viko hiviJe ni kweli kuna baadhi ya vipimo vya damu huonesha majibu HIV postive hata kama mpimwaji hana, na ana
(Magonjwa mengine ya zinaa)
😂😂😂Mkuu wa Kazi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] anamuuliza Mkuu wake wa Kitengo[emoji2]
Flue like symptoms with lymphadenitisDalili za kwanza kabsa za UKIMWI ni zipi?
Na vile vya kuonesha mistari vinakuwaje kwa mwenye magonjwa ya zinaa!Vipimo vimavyotumika viko hivi
Cha kwanza kinauwezo mkubwa wa kutambua mtu yeyote aliyeathirika (ina itwa sensitivity kubwa) hata kama una minyoo inayoreact kama HIV (kitasoma) , sasa ukisha tambuliwa na hicho cha kwanza unapimwa cha pili ambacho kina uwezo mkubwa wa kusema hii ni HIV (INAITWA SPECIFICITY) ili kuhakikisha kuwa hakimwambii mtu mwenye minyoo kwamba ana UKIMWI
Kuna magonjwa mengi hayacross react na HIV.Na vile vya kuonesha mistari vinakuwaje kwa mwenye magonjwa ya zinaa!
nice answerBakteria wengi wanaonekana kwa microscope za kawaida. Virus wa HIV waneonekana kuanzia zamani. Na sasa hivi wanaonekana kwa kutumia 3D electronic microscope. Pitia hii article kutoka PubMed
Catching HIV ‘in the act’ with 3D electron microscopy
Braza hata mimi siujuiOk, ni ugonjwa upi wa zinaa unaweza kusoma HIV postive kwenye kipimo cha HIV kinachotoa majibu kwa kuangalia mistari!