VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Na why watu wakiacha kutumia dawa wanakufa
Je dawa zina reaction gan katika kuzalishwa kwa cell zingne baada ya mtu kuacha
Na kwa nn weng wanaotumia dawa hizi kufa kwa presha ?
ARV ni kama dawa zingine. Daw yoyote ile ina madhara either adverse drug reactions au side effects. Dawa zote zile ziko hivyo. Kuanzia Panadol, dawa za presha, sukari nk. Ili kujua hilo ndio maana watumiaji wa dawa wakuwa monitored

Mgonjwa anapoacha kutumia dawa maana yake anataka kinga ishuke.
 
Acha kujibu kijinga mkuu watu wamesoma na ww umepewe semina na ukalipwa acha kuleta matango pori yako izo concept na dawa zako pelekeaa ndugu zako
 
Acha kujibu kijinga mkuu watu wamesoma na ww umepewe semina na ukalipwa acha kuleta matango pori yako izo concept na dawa zako pelekeaa ndugu zako
Pitia thread zangu za mwanzo angalau utaona hata cheti changu cha form four.. najua ukiambia ulete cha darasa la saba utakuwa mtihani. Nafikiri unaweza kujua mimi ni mtu wa namna gani!
 
Tatzo huna scientific explanation na umebase sehemu moja tu watu wanywe ARVs peke ake
Kama kwel wee mwanascience go wide acha kuandika sirahs rahs tu
Majibu ya semina ayo
Umeiva lakn
 
Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
Wanaokosa hiyo """CCRK5""" wana matatizo gani?

Ukiikosa unakuwaje? Hamna njia ya kitaalamu kuiondoa hiyo CCRK5 ili watu wote tusiwe tunapata Ngoma?!?!?!

Kama tu haitakuwa shida/tatizo kutokuwa nayo?!
 
Je ni kweli kuna baadhi ya vipimo vya damu huonesha majibu HIV postive hata kama mpimwaji hana, na ana
(Magonjwa mengine ya zinaa)
 
Nimeyafatilia maswali yake yote ila anauliza si kwa kutaka kujua bali kutaka kupima uwezo wa mtu si mbaya utu uzima dawa mjibu kwa hekima kuu naamini atatoka berenge mwenyewe usikute wew ndio mkuu wake wakazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wa Kazi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] anamuuliza Mkuu wake wa Kitengo[emoji2]
 
Tatzo huna scientific explanation na umebase sehemu moja tu watu wanywe ARVs peke ake
Kama kwel wee mwanascience go wide acha kuandika sirahs rahs tu
Majibu ya semina ayo
Umeiva lakn

Unajua maswali yako yako katika nadharia ambazo zilisha thibitisha kwamba sio kweli..
 
Wanaokosa hiyo """CCRK5""" wana matatizo gani?

Ukiikosa unakuwaje? Hamna njia ya kitaalamu kuiondoa hiyo CCRK5 ili watu wote tusiwe tunapata Ngoma?!?!?!

Kama tu haitakuwa shida/tatizo kutokuwa nayo?!
Hiyo ni ya kurithi wengi watu wa visiwa vya Caribbean, sub tribe moja Kenya, familia moja Brazil...

Ukiikosa haina madhara

Labda kufanya gene modification ya gene sequence ya binadamu
 
Je ni kweli kuna baadhi ya vipimo vya damu huonesha majibu HIV postive hata kama mpimwaji hana, na ana
(Magonjwa mengine ya zinaa)
Vipimo vimavyotumika viko hivi
Cha kwanza kinauwezo mkubwa wa kutambua mtu yeyote aliyeathirika (ina itwa sensitivity kubwa) hata kama una minyoo inayoreact kama HIV (kitasoma) , sasa ukisha tambuliwa na hicho cha kwanza unapimwa cha pili ambacho kina uwezo mkubwa wa kusema hii ni HIV (INAITWA SPECIFICITY) ili kuhakikisha kuwa hakimwambii mtu mwenye minyoo kwamba ana UKIMWI
 
Na vile vya kuonesha mistari vinakuwaje kwa mwenye magonjwa ya zinaa!
 
Ok, ni ugonjwa upi wa zinaa unaweza kusoma HIV postive kwenye kipimo cha HIV kinachotoa majibu kwa kuangalia mistari!
 
Back
Top Bottom