Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
ARV ni kama dawa zingine. Daw yoyote ile ina madhara either adverse drug reactions au side effects. Dawa zote zile ziko hivyo. Kuanzia Panadol, dawa za presha, sukari nk. Ili kujua hilo ndio maana watumiaji wa dawa wakuwa monitoredNa why watu wakiacha kutumia dawa wanakufa
Je dawa zina reaction gan katika kuzalishwa kwa cell zingne baada ya mtu kuacha
Na kwa nn weng wanaotumia dawa hizi kufa kwa presha ?
Mgonjwa anapoacha kutumia dawa maana yake anataka kinga ishuke.