Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Kitimoto,samaki wa baharini,bata
Vingine vyote nakula vilivyohalalishwa
 
That's my sista [emoji4]

Huwa unaspeak my mind mara nyingi sana sana sana hapa JF

Kabichi na karanga [emoji2296][emoji2296]
Hapo mimi nisiyependa kabichi ndio unanipa sababu nyingi zaidi ya kutopenda

Napenda kabich iwekewe hoho,karoti na kitunguu na chumvi unaikaanga kidogo kwenye mafuta kidogo
Au iwe kwq chumbari
 
That's my sista [emoji4]

Huwa unaspeak my mind mara nyingi sana sana sana hapa JF

Kabichi na karanga [emoji2296][emoji2296]
Hapo mimi nisiyependa kabichi ndio unanipa sababu nyingi zaidi ya kutopenda
Because am your sista[emoji7][emoji7]
Halafu yupo kunichamba eti sijui kupika kisa nimemkatalia hilo pishi lake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mdogo wangu siku unaolewa muulize shemeji preferences zake kwenye vyakula sio unaolewa na ka last born ka kifipa huko kanaenda kukupikisha cabbage na karanga[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kananuna balaa eti karanga hazikuiva vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…