...waache uoga - wajifunze upinzani wa wenzao wa Uganda...hii habari ya kuonewa huruma haipo
.....walikosea sana pale walupopigwa mkwara kuhusu mikutano ya nje walipogwaya...na ile ya ukuta
We uko upande gani...waache uoga - wajifunze upinzani wa wenzao wa Uganda...hii habari ya kuonewa huruma haipo
.....walikosea sana pale walupopigwa mkwara kuhusu mikutano ya nje walipogwaya...na ile ya ukuta
Naona hapa kuna viongozi wengine wenye nafasi kubwa serikalini wanatumiwa vibaya na mabeberu ili kuchafua sifa ya Dr Rais Magufuli!! some leaders in sensitive positions are incognito being used by armyworms who are not happy with the current Aggressive efforts of revamping the Tanzanian economy! In certain vernacular it is literally translated as “THEY ARE ACTING LIKE HEADLESS GRASSHOPPERS”!![emoji38][emoji38]Yetu macho! The simplest advice is for the President to get rid of such headless grasshoppers!
Hawa wapinzani wamekwama wapi?
Wangalau sasa wapinzani wanaanza kuzungumza lugha inayotakiwa kutufikisha pazuri, tunajua njia hii ni ngumu na italeta mauji, lakini kwa hapa tulipofikia hakuna njia nyingine nje ya njia hii, tena ilichelewa. Tunajua fika woga umewaingia wananchi, lakini kwenye madai halali uwoga itabidi uondoke.

TUSIHUBIRI WALA KUFURAHIA VURUGU.
Siyo sahihi wala busara kutafuta suluhisho kwa kuhubiri na kushabikia vurugu.
Wawezaje kutamani kuingia kweye mauaji? Unataka damu ya nani imwagike? Unamfurahisha nani kwa kuhubiri vurugu?
Kumbuka: Nchi ikiingia kwenye vurugu watu wengi wataathirika. Tutapoteza maisha ya Watanzania wenzetu, baadhi watakuwa vilema, na wengine huenda wakawa wakimbizi. Kati ya wahanga wa vurugu unaweza kuwa wewe, watoto wako, ndugu na jamaa zako, mimi, na wengineo wengi.
NI kitu gani hicho tumekikosa hadi vurugu iwe ndiyo mbadala sahihi?