Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

kabombe,

Nikuulize swali moja muhimu wewe kada wa Lumumba, iwapo wasimamizi wa hizo chaguzi walishawa-disqualify hao wagombea wa upinzani zaidi ya asilimia 90, kipi kilichobadilika hadi Waziri Jaffo ayarejeshe majina ya wagombea wote ambao majina yao yalikatwa hapo awali?

Tukiwaambia nyiye magamba mnajichanganya na kujikanyaga nyinyi wenyewe tutakuwa tumekosea?
 
Ni kituko kwelikweli, eti mgombea yeyote lazima athibitishwe na barua rasmi ya chama chake inayomtambulisha kuwa huyu ni mgombea wetu, ina maana chama kinatoa dhamana, lakini chama kinapoamua kujitoa katika uchaguzi eti haikubaliki mpaka mgombea mwenyewe ajitoe yeye mwenyewe, huu upuuzi wa wapi?
 
Ccm wamelitegemea jeshi la police na tume ya uchaguzi kwa muda mrefu sana,sasa ni muda sahihi wa wao kutoka!
 
Una maoni gani kuhusiana na sakata zima la vyama vya Upinzani kuweka mpira kwapani na kususia Uchaguzi? Hii ni Demokrasia? Je! CCM wana Haki ya kupitwa bila kupingwa? au Uchaguzi uhairishwe? Nini maoni yako?
 
Haya maajabu nafikiri yanapatikana Tz pekee, hata Burundi sidhani kama yapo
 
Tanzania amani ya kutosha kabisa.....tusiombee tufikie zilipofikia nchi zingine tukajua kuitofautisha amani na vita.
 
Pongezi zimfikikie JPM, kwa kasi yake kuwasaidia Watanzania wajitambue kudai haki na stahili zao.
 
Huu ndio ufala wa viongozi wa vyama vya upinzani,sasa wewe unajiita mpinzani harafu hautaki kupingwa tena,kama ni hivyo na wewe usipinge ili muende sawa, by the way mkiitisha maandamano hakikisheni ninyi viongozi ndio muwe mbele ili kuleta dhana ya uongozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu Afande Sirro kuna watu wanataka kupapaswa.
 
Tatizo CCM hana mbadala,akipatikana mbadala sawa,sio hawa wakora wawe mbadala wa CCM
 
...umewaza na kuandika kiboya sana mkuu-..tungekuwa na watu wengi wa aina yako dunia pangekuwa mahali pa hovyo sana.

....stupid you !

Ndio shida ya kuzoea Facebook, hapa ni JF dogo acha ushamba wako wa kijinga, lete hoja sio mambo yako ya kihuni hakuna watoto wapa,
 

Lakini hebu tuongee kibusara mlitaka vyama pinzani vifanye nn? Pia kama ww ni mwanasiasa kweli then nenda TLP kwa mrema mbona huko mambo ni mazuri tu
 


Kwa nini haviungani wanapoenda kugombea?
 
Ataandamana zito ,mbowe ,na sipunda wakiwa na wake zao huo ujinga wa kuwafanya vilema watoto wa maskini harafu mnarudi CCM awamu hii hakuna


State agent
Mimi pia nitaandamana cyo mbowe tu.Huu upumbavu mwisho CHATO.
 
Upuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…