Mlinganisho wako ni mlinganisho mfu.ANC wanakumbana na upinzani uliojipanga.DA waliwahi kutawala South Afrika,Zuma na Malema ni zao la ANC wanajua kujenga hoja za kufanya wachaguliwe licha ya kutoshinda.Yaani kwa sera CCM ni bora kuliko ANC!?
hebu weka hapa sera hata moja ya CCM ambayo wewe unaona Bora!!
Hao wapinzani washinde kwenye sanduku la kura, hakuna ushindi wa zawadiLeo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National Independency Party (UNIP) Cha Zambia ambacho kilitawala Zambia tangu mwaka 1964 hadi mwaka 1991.
Mwaka 1991 UNIP walishindwa uchaguzi dhidi ya chama cha Movement for Multparty Democracy (MMD) kilichokuwa kinaongozwa na Fredrick Chiluba.
Mpaka Leo Zambia kumetulia na UNIP wamekubaliana na matokeo.
Chama cha pili ni Kenya Africans National Union (KANU). Mwaka 2002 Muungano wa vyama vya siasa uliojulikana kwa jina la National Rainbow Coalition (NARC) ulishinda uchaguzi.
KANU wala hawakushughulika kupindua matokeo kama tabia ya CCM ilivyo wanaposhindwa uchaguzi. Maisha ya KANU huko Kenya yanaendelea na siasa zinasonga mbele.
Chama cha mwisho ni African National Congress (ANC) cha Afrika ya kusini.
Kwenye uchaguzi wa mwaka huu ANC imekataliwa na waafrika ya kusini. ANC wamepata asilimia arobaini (40%) wakati vyama vingine vimepata Asilimia sitini (60%).
ANC wala hawajifaragui kukubali matokeo badala yake wanatafuta kuunda Serikali na vyama vya siasa vingine walivyoshindana navyo kwenye uchaguzi.
Afrika nzima kwenye purukushani za mapinduzi na machafuko ni kule ambako vyama vilivyoko madarakani hukataa matokeo au mabadiliko.
CCM tabia yake ya kupora matokeo imewanogea hadi kwa Sasa hawaoni tena aibu kupora uchaguzi.
Walianza mwaka 1995 kule Zanzibar na baadae mwaka 2019/2020 wakaiba uchaguzi mzima.
Iko siku tabia hii ya kukataa kushindwa ya CCM italiletea Taifa letu madhara.
Ushindi wa wizi wa CCM unakera Sana...Hao wapinzani washinde kwenye sanduku la kura, hakuna ushindi wa zawadi
Hata wapinzani wakipata gepu wanaiba, mfano tumeuona kwenye uchaguzi wa Kanda Nyasa na Victoria ulivyokuwa umejaa rushwaUshindi wa wizi wa CCM unakera Sana...
Don't argue with fools because the brave people won't notice the difference.Inaonesha huna ulijualo kuhusu siasa... CPC haitawali kama CCM na China hakuna vyama vingi vya siasa.
Sasa nchi yenye chama kimoja cha siasa unaiwekaje kama mfano??
Nyie watu wa CCM kuwaza kwenu kunashangaza Sana.
Mkuu 'Ame'... "please, let us go back to our roots" IMPOSSIBLE under the current circumstances. You're asking fo too much! Nani huko CCM mwenye uwezo wa kufanya kazi kubwa na ngumu kama hiyo?Bado CCM ni chama Cha grassroots...CHADEMA ilianzishwa vibaya kwahiyo memory za watu Bado zinaikumbuka historia hiyo. Mpaka sasa kama ni CCM basi imefanikiwa kuifanya nchi ikose mpinzani wa kweli. Hii ingekuwa nzuri kama yenyewe itasimamia maslahi ya wananchi, lakini wachache wetu tumeamua kukiweka kwapani Ili tule matunda ya nchi peke yetu...Hii ni hatari sana Kwa CCM chama changu, please let us go back to our values
Ukweli mtupu, hata sijui kwa nini alitoa mlinganisho wa namna hiyo.Inaonesha huna ulijualo kuhusu siasa... CPC haitawali kama CCM
Its a zero sum game.
Dola sio peremende unamega halafu unampatia mwenzio amalizie, hilo hakuna.
================
CHADEMA uzeni sera na sio vitisho.
Mabadiliko ni lazima.Kwahiyo una shauri nini kifanyike? 🤒😎
Hapo sasa.Kupigiwaje kura!?
Unataka kusema kuwa hujui mwaka 2015 Jecha Salim Jecha alivyofuta uchaguzi wa Zanzibar kiharamu!!??
Umesahau vipi jinsi watendaji wa mitaa mwaka 2019 walivyosema eti wagombea wa CHADEMA nchi nzima kuwa hawajui kusoma na kuandika!?
Kwa nini viungane. Yaani kitu Gani kinawaunganisha!!??Bila vyama vya upinzani kuungana basi sahau sisiemu kutoka madarakani.
CCM haichaguliwi na wananchi bali huwekwa na Watawala kwa kutumia vyombo vya dola na Wakurugenzi.Vinangangania au wananchi wanavichagua! Kama wananchinwanawachagua ulitaka wakatae
Uko sahihi.Ila hiki Chama Chetu pendwa cha CCM .....mmmmh. Jamii moja na ZANU PF ... wananchi maisha magumu Zimbabwe, pesa hakuna kila mwezi wanazibadili lakini majaa yamekomalia hapo hapo. Yaani ZANU PF na CCM ni kama Mapacha vile. Tabia zao zinashabihiana sana.
Yaani CCM wameamua kuiweka Rushwa ya Uchaguzi bila aibu.Hakuna aliyesema CHADEMA wamegewe dola kama peremende na wenyewe watafune.
Wananchi wanadai fair play, mashindano ya haki, kwenye kutafuta dola.
CCM wanavunja sheria za ushindani, wanashika dola kinguvu.
Pikipiki za kampeni zinagawiwa kabla ya muda, fedha zinatapanywa kwenye kunyanyua mabango ya kumtangaza Samia kabla ya muda. Msemaji wa CCM Amos Makala katapika hadharani kwamba CCM inagawa pikipiki kwa ajili ya kampeni, hata hajui kama ni kuvunja sheria, upeo mdogo masikini ya Mungu.
Nchi ilifanya sherehe kubwa siku Kikwete lipopitisha sheria ya kuthibiti campaign financing. Yako wapi ? Mnakumbuka ? Wafuatiliaji wenzangu wa mambo ya kitaifa ya nchi hii, mnakumbuka ?????
Sasa CCM tuambieni, mbona mnazivunja, mnanajisi, mnatemea mate sheria za campaign financing ????
Mlinganisho wako ni mlinganisho mfu.ANC wanakumbana na upinzani uliojipanga.DA waliwahi kutawala South Afrika,Zuma na Malema ni zao la ANC wanajua kujenga hoja za kufanya wachaguliwe licha ya kutoshinda.
Hapa Tanzania tuna wapinzani waganga njaa tu na kusema eti walishinda Urais 2020 ni wishful thinking.
Wapinzani wa Tanzania ni wakosoaji wa matukio bila sera mbadala za kiuchumi,mazingira na uhusiano wa kimataifa.
Lini ulisikia wame table bajeti mbadala na jinsi watakavyo finance hayo matumizi.
Hawa ni wafukuzia ruzuku tu ili kushibisha matumbo yao.Na hawana utamaduni wa kukubali kushindwa. Mfano Msigwa kashindwa lakini anadai kashinda.
Mlinganisho wako ni mlinganisho mfu.ANC wanakumbana na upinzani uliojipanga.DA waliwahi kutawala South Afrika,Zuma na Malema ni zao la ANC wanajua kujenga hoja za kufanya wachaguliwe licha ya kutoshinda.
Hapa Tanzania tuna wapinzani waganga njaa tu na kusema eti walishinda Urais 2020 ni wishful thinking.
Wapinzani wa Tanzania ni wakosoaji wa matukio bila sera mbadala za kiuchumi,mazingira na uhusiano wa kimataifa.
Lini ulisikia wame table bajeti mbadala na jinsi watakavyo finance hayo matumizi.
Hawa ni wafukuzia ruzuku tu ili kushibisha matumbo yao.Na hawana utamaduni wa kukubali kushindwa. Mfano Msigwa kashindwa lakini anadai kashinda.
Umesahau vitisho vya sumu haionjwi kwa ulimi?Kung'ang'ania Kwa Mbowe kukoje??
Kaiba uchaguzi gani!?
Mnasema hivi lakini kwa katiba hii ya kipuuzi mtakuja kuichoma hii nchi halafu katiba lenu la kipuuzi linazuia kupeleka mahakamani matokeo ya urais yaliyoibiwa ccm ndio italeta machafuko kwenye hii nchi kizazi cha wajinga wa vijijini kinaondoka wanabaki vijana wasiopenda upuuzi wenu wa kusifiana kijinga.Wewe mtu unashida,nilini upinzani ulishinda CCM ikakataa kukabidhi madaraka!?,au unataka CCm isisimamishe kabisa mgombea ili isionekane imekatalia madarakani?
Mkuu name upo kwenye payroll?Wewe mtu unashida,nilini upinzani ulishinda CCM ikakataa kukabidhi madaraka!?,au unataka CCm isisimamishe kabisa mgombea ili isionekane imekatalia madarakani?