Kama mngeuheshimu mkataba wenu na Hong Kong mngeweza kiutawala na Taiwan. Kwa Hali ilivyo hata mkivamia Taiwan yatakua kama ya Urusi iliyofikiri inaweza kuchukua nchi ndani ya masaa 72 matokea yake wao huko mpaka Leo.Taiwan ni sehemu ya China moja je unabisha kuhusu hilo ?
Mifumo yote ambayo inaongozwa na wanadamu haija wahi kuwa perfect [emoji817] katika kufanya kazi ndio maana Kila uchwao Kuna mabadiliko mbali ya kisera na Sheria lengo ni kuziba pengo la udhaifu hivyo mifumo ya China ina udhaifu wake China na uimara wake na hili lipo katika nchi zote.Tatizo sio nchi kuwa na katiba, na mm sipingi hili, tatizo ni Huyu jamaa kuja kutudanganya as if hatujui uchafu wao.
Maswali yetu muhimu tunayomuuliza hayajibu anaishia kuipamba CPC tu hapa
Vituo mlivyofungua Italy, Netherlands na Canada mlifuata Sheria?Hauwezi kufungua police station katika taifa lengine pasipo kufuata taratibu na sheria za taifa husika
Xi yupo pale kutokana na kuongezewa termKikawaida hakuna mtu mwenye miaka zaidi ya 65 anayeruhusiwa kuendelea kuwa kwenye Politburo wakati wa uchaguzi. Je imekuaje 1st ranked ni 69,second mpaka 6th ranked wamezidi umri unaoruhusiwa kisheria kuwa kwenye Politburo?
Xi ana 69. How????Xi yupo pale kutokana na kuongezewa term
Umri ni miaka 67 na political bureau ni ina chaguliwa mwaka mmoja kabla ya vikao vya bunge la watu wa China
Ulitaka Xi aue watu ndio ufurahi ?Sema nafurahi sana kuona watu waligomea lockdown. Pamoja na ubabe wa Xi ila mwishoni aliachia.
China ni rival wa U.S.A usitegemee U.S.A kuipa support China ili impite wanacho fanya sasa U.S.A ni kukwamisha juhudi za maendeleo ya China lakini haitawezekanaMwambieni Xi atadondikea mtoni. Wamebaki watu wa ndio Mzee ndio Mzee. Hakuna WA kumwambia hapana policy hii hapa tunakosea au hapa tunaenda kwa kasi mno. Hu alisimamia uchumi ukiokua kwa kasi mno. Alikua na uwezo wa kufanya atakavyo ila alikua alistahili kuficha ukatili kwenye tabasamu lake kwa nchi za magharibi. Leo china inaelekea shimoni maana makampuni ya Marekani yamezuiwa kuwapa wachina baadhi ya technologia. Pia china imeanza chokochoko na nchi kama Vietnam, Ufilipino na Japan. Sioni tofauti yake na ufalme wa kijapan uliotawala China na Korea kwa mabavu.
One country two systems that how it works in Hongkong and MacauKama mngeuheshimu mkataba wenu na Hong Kong mngeweza kiutawala na Taiwan. Kwa Hali ilivyo hata mkivamia Taiwan yatakua kama ya Urusi iliyofikiri inaweza kuchukua nchi ndani ya masaa 72 matokea yake wao huko mpaka Leo.
Kikawaida ni miaka kumi. Nijibu kwa ni Xi hajastaafu? Pia kwa Nini premier na yeye ni Mzee? Na mwenyekiti wa binge la congress nae ni Mzee? Kumbuka Kuna umri huchaguliwi maana unatakiwa kutumika vipindi vya miaka 5 mara mbili. Premier 2032 atakua na 76. How??????Li keqiang alistepdown yeye mwenyewe na alitangaza toka 2018. Stop that
Achana hata na Hu Jintao Rais mstaafu, njoo kwa Waziri wa Sheria aliyetaka Xi asiongezewe muhura kafungwa maisha.Hu hakua mgonjwa. Ulitumika ubabe wa mwenyekiti hahojiwi zidumu fikra za mwenyekiti.
Uimara wa kusabotage nchi zingine, hivi unajua walichokifanya wachina kwenye jengo la AU kuhusu kuiba taarifa?Mifumo yote ambayo inaongozwa na wanadamu haija wahi kuwa perfect [emoji817] katika kufanya kazi ndio maana Kila uchwao Kuna mabadiliko mbali ya kisera na Sheria lengo ni kuziba pengo la udhaifu hivyo mifumo ya China ina udhaifu wake China na uimara wake na hili lipo katika nchi zote.
Kuwa na milengo tofauti ya kimtazamo ndio sababu ya nyie kubishana sana.
How comes Beijing can dictate how to police Hong Kong? How come people are abducted from Hong Kong to be found in the mainland? How come the CEO is chosen in Beijing and not Hong Kong????One country two systems that how it works in Hongkong and Macau
This is a CPC mouthpiece.Achana hata na Hu Jintao Rais mstaafu, njoo kwa Waziri wa Sheria aliyetaka Xi asiongezewe muhura kafungwa maisha.
Siku Xi akifariki nchi itapata msukosuko, anajikuza kuliko taasisi za nchi
View attachment 2575434