Kufuatilia siasa za uchina bora ufuatilie siasa za Korea kaskazini, hizi ni nchi za kidikteta by nature, haziruhusu mawazo mbadala sasa pumbavu mmoja anakuja humu kutuletea ujinga wake
Njia bora inayoruhusu ustawi wa jamii ni demokrasia pekee yake, huko china kila mtu ni CPC kwa lazima, Xi ndie kiongozi wako wabunge wote hadi takataka za nyumba kumi ni CPC
USA wamefika hapo walipo coz of their democracy, na nahisi hawa USA wataenda mbali zaidi ya hapo walipo, coz nchi kama China ni rahisi hali yao kisiasa kubadilika pale ambapo raia watachoka utawala wa kidikteta
Ndio maana USSR, Iran, China, North Korea, etc, ikitokea tu raia kudai haki fulani lazima usikie wakisingizia kwamba wanadanganywa na USA or Western, kitu ambacho uwezi kusikia USA wala katika nchi za demokrasia