Vyama vya Siasa 8 nchini China

Vyama vya Siasa 8 nchini China

Taiwan ni sehemu ya China moja je unabisha kuhusu hilo ?
Kama mngeuheshimu mkataba wenu na Hong Kong mngeweza kiutawala na Taiwan. Kwa Hali ilivyo hata mkivamia Taiwan yatakua kama ya Urusi iliyofikiri inaweza kuchukua nchi ndani ya masaa 72 matokea yake wao huko mpaka Leo.
 
Tatizo sio nchi kuwa na katiba, na mm sipingi hili, tatizo ni Huyu jamaa kuja kutudanganya as if hatujui uchafu wao.

Maswali yetu muhimu tunayomuuliza hayajibu anaishia kuipamba CPC tu hapa
Mifumo yote ambayo inaongozwa na wanadamu haija wahi kuwa perfect [emoji817] katika kufanya kazi ndio maana Kila uchwao Kuna mabadiliko mbali ya kisera na Sheria lengo ni kuziba pengo la udhaifu hivyo mifumo ya China ina udhaifu wake China na uimara wake na hili lipo katika nchi zote.

Kuwa na milengo tofauti ya kimtazamo ndio sababu ya nyie kubishana sana.
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Kufuatilia siasa za uchina bora ufuatilie siasa za Korea kaskazini, hizi ni nchi za kidikteta by nature, haziruhusu mawazo mbadala sasa pumbavu mmoja anakuja humu kutuletea ujinga wake

Njia bora inayoruhusu ustawi wa jamii ni demokrasia pekee yake, huko china kila mtu ni CPC kwa lazima, Xi ndie kiongozi wako wabunge wote hadi takataka za nyumba kumi ni CPC

USA wamefika hapo walipo coz of their democracy, na nahisi hawa USA wataenda mbali zaidi ya hapo walipo, coz nchi kama China ni rahisi hali yao kisiasa kubadilika pale ambapo raia watachoka utawala wa kidikteta

Ndio maana USSR, Iran, China, North Korea, etc, ikitokea tu raia kudai haki fulani lazima usikie wakisingizia kwamba wanadanganywa na USA or Western, kitu ambacho uwezi kusikia USA wala katika nchi za demokrasia
 
Hauwezi kufungua police station katika taifa lengine pasipo kufuata taratibu na sheria za taifa husika
Vituo mlivyofungua Italy, Netherlands na Canada mlifuata Sheria?
 
Sema nafurahi sana kuona watu waligomea lockdown. Pamoja na ubabe wa Xi ila mwishoni aliachia.
 
China is a one party state and is obviously a dictatorship which simply means the people of China are a horse 🐴 and dictator Xi is a rider.
 
Kikawaida hakuna mtu mwenye miaka zaidi ya 65 anayeruhusiwa kuendelea kuwa kwenye Politburo wakati wa uchaguzi. Je imekuaje 1st ranked ni 69,second mpaka 6th ranked wamezidi umri unaoruhusiwa kisheria kuwa kwenye Politburo?
Xi yupo pale kutokana na kuongezewa term

Umri ni miaka 68 na politburo ni ina chaguliwa mwaka mmoja kabla ya vikao vya bunge la watu wa China
 
China is a one party state and is obviously a dictatorship which simply means the people of China are a horse 🐴 and dictator Xi is a rider.
What is dictatorship ?
 
Xi yupo pale kutokana na kuongezewa term

Umri ni miaka 67 na political bureau ni ina chaguliwa mwaka mmoja kabla ya vikao vya bunge la watu wa China
Xi ana 69. How????
 
Sema nafurahi sana kuona watu waligomea lockdown. Pamoja na ubabe wa Xi ila mwishoni aliachia.
Ulitaka Xi aue watu ndio ufurahi ?

Kama wananchi hawafurahishwi na jambo fulani wapo huru kulikataa na serikali ina jukumu la kufanya mabadiliko au marekebisho kuhusu hilo suala ndivyo serikali ya China ilivyo fanya kusikiliza malalamiko ya wananchi wake
 
Vituo mlivyofungua Italy, Netherlands na Canada mlifuata Sheria?
Sio rahisi kuendesha shughuli za kiserikali zinazo tishia usalama wa nchi katika taifa lengine tena kubwa bila kufuata sheria hivyo hayo madai hayana ukweli wowote
 
Mwambieni Xi atadondikea mtoni. Wamebaki watu wa ndio Mzee ndio Mzee. Hakuna WA kumwambia hapana policy hii hapa tunakosea au hapa tunaenda kwa kasi mno. Hu alisimamia uchumi ukiokua kwa kasi mno. Alikua na uwezo wa kufanya atakavyo ila alikua alistahili kuficha ukatili kwenye tabasamu lake kwa nchi za magharibi. Leo china inaelekea shimoni maana makampuni ya Marekani yamezuiwa kuwapa wachina baadhi ya technologia. Pia china imeanza chokochoko na nchi kama Vietnam, Ufilipino na Japan. Sioni tofauti yake na ufalme wa kijapan uliotawala China na Korea kwa mabavu.
China ni rival wa U.S.A usitegemee U.S.A kuipa support China ili impite wanacho fanya sasa U.S.A ni kukwamisha juhudi za maendeleo ya China lakini haitawezekana

China inaelekea kwenye modern socialist country , that is General secretary Xi and party target
 
Kama mngeuheshimu mkataba wenu na Hong Kong mngeweza kiutawala na Taiwan. Kwa Hali ilivyo hata mkivamia Taiwan yatakua kama ya Urusi iliyofikiri inaweza kuchukua nchi ndani ya masaa 72 matokea yake wao huko mpaka Leo.
One country two systems that how it works in Hongkong and Macau
 
Li keqiang alistepdown yeye mwenyewe na alitangaza toka 2018. Stop that
Kikawaida ni miaka kumi. Nijibu kwa ni Xi hajastaafu? Pia kwa Nini premier na yeye ni Mzee? Na mwenyekiti wa binge la congress nae ni Mzee? Kumbuka Kuna umri huchaguliwi maana unatakiwa kutumika vipindi vya miaka 5 mara mbili. Premier 2032 atakua na 76. How??????
 
Hu hakua mgonjwa. Ulitumika ubabe wa mwenyekiti hahojiwi zidumu fikra za mwenyekiti.
Achana hata na Hu Jintao Rais mstaafu, njoo kwa Waziri wa Sheria aliyetaka Xi asiongezewe muhura kafungwa maisha.
Siku Xi akifariki nchi itapata msukosuko, anajikuza kuliko taasisi za nchi
4612.jpg
 
Mifumo yote ambayo inaongozwa na wanadamu haija wahi kuwa perfect [emoji817] katika kufanya kazi ndio maana Kila uchwao Kuna mabadiliko mbali ya kisera na Sheria lengo ni kuziba pengo la udhaifu hivyo mifumo ya China ina udhaifu wake China na uimara wake na hili lipo katika nchi zote.

Kuwa na milengo tofauti ya kimtazamo ndio sababu ya nyie kubishana sana.
Uimara wa kusabotage nchi zingine, hivi unajua walichokifanya wachina kwenye jengo la AU kuhusu kuiba taarifa?

Unaujua mpango wa China kwa Africa?

Au ww unaona wanakuchekea tu.
 
One country two systems that how it works in Hongkong and Macau
How comes Beijing can dictate how to police Hong Kong? How come people are abducted from Hong Kong to be found in the mainland? How come the CEO is chosen in Beijing and not Hong Kong????
 
Back
Top Bottom