Vyama Vya Siasa Vyasema Kusoma kwa Muswada wa Sheria ya Uchaguzi ni Ishara Nzuri

Ukimbizi ni hadhi ya kisheria ambayo tayari inamasharti yake mengi tu ikiwamo hata ukaazi hapa nchini. Kusema kuwa kuna watu ambao ni "wakimbizi" wanaongoza vyama vya siasa naona kama ni siasa chafu tu. Kwa nini isihusike Idara ya Uhamiaji badala yake viwajibishwe vyama? Vyama vina mechanism gani ya kujua huyu ni "mkimbizi"?

Mi naomba unafiki ukianza wa kubugudhi watanzania wa Kigoma na Ngara wenye asili za nchi jirani jirani tusiache na wale wenye wajomba zao Omani huko
 
Tulishachelewa, na yaliyopita si ndwele tugange yajayo, tuwe makini zaidi huko tuendako!
 
Tanzania Inachezewa Sana Sana Ndugu Zangu
 
Bunge limesema katika sheria Mpya ya Vyama vya Siasa Chama chenye Kiongozi wa kutoa maamuzi ambaye ni mkimbizi kitachukuliwa hatua kali Sana

Source: TBC

Mlale Unono 😂😂🔥
Tuanze na cha ukoo wa panya kinachotafuna boti tunalosafiria🤣.Umeamkaje Jo🤔
 
Bunge limesema katika sheria Mpya ya Vyama vya Siasa Chama chenye Kiongozi wa kutoa maamuzi ambaye ni mkimbizi kitachukuliwa hatua kali Sana

Source: TBC

Mlale Unono 😂😂🔥
Upatikanaji wa meme umekuwa tatizo nchini.Itafutwe namna bora ya kutatua/kupambana ili kujikwamua nalo.Hilo la kukaa bungeni kusubiri posho ili upambane na Lissu ni upumbavu uliopea viwango.Halafu mwenyekiti/spika wa bunge hilo ni dokta!A parliament of ows!
 
Umeme angeuweza Magufuli tu
 
Zitto Kabwe
Mrudi Zito aondoke kurudi kwao hahaha (ila aliyataka yeye kwa kujikita na udini na chuki zisizo na maana kwa Dkt Magufuli), hakika ipo siku mfumo utamrudisha Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…