MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
CCM itakua ya kwanza wamo wengi ila tuanze na mbunge wa ngara Kisha Bashe tunamaliza na bitekoBunge limesema katika sheria Mpya ya Vyama vya Siasa Chama chenye Kiongozi wa kutoa maamuzi ambaye ni mkimbizi kitachukuliwa hatua kali Sana
Source: TBC
Mlale Unono 😂😂🔥