mnyalilungulu
Senior Member
- Sep 27, 2019
- 170
- 114
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 24 Novemba 2019 umeisha kwa idadi ndogo ya waliojitokeza, baada ya vyama sita vya upinzani kujitoa hii ni mwitikio mkubwa wa watanzania kwenu mkae mkijua watanzania wanawaunga mkono sana na wanawakubali sana kwa kila jambo tumieni vizuri kukubalika kwenu na watanzania Mungu awabariki sana.

kuna kituo kimoja huko Songea waliojiandikisha walikuwa 166 , waliojitokeza kupiga kura walikuwa watatu tu , yaani mgombea wa ccm alishinda kwa kupata kura 3 , TLP 0Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 24 Novemba 2019 umeisha kwa idadi ndogo ya waliojitokeza, baada ya vyama sita vya upinzani kujitoa hii ni mwitikio mkubwa wa watanzania kwenu mkae mkijua watanzania wanawaunga mkono sana na wanawakubali sana kwa kila jambo tumieni vizuri kukubalika kwenu na watanzania Mungu awabariki sana.