Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ona misukule haijui hata kuandika arobaini na mbili elfu mkato wa arobaini na mbili unakaa wapi hayajui maskini mataga.Endeleeni kujidanganya.NA AKILI ZENU ZA KENGE...KUKIMBIA MVUA NA KUJITUPA MTONI....
Jiandaeni kupata ushindi wa bila kushinda.Acha kutupumbaza je mwaka kesho wabunge ,na madiwani wa vyama hivyo watasusia uchaguzi?
Kama jibu ni hapana,basi wamewahadaa wenzao.
Mkuu huku kuna sehemu wapiga kura hawakujitokeza maccm yakaanza kutembea nyumba kwa nyumba kuomba watu waende wakapige kura watu wakagoma, yakaingia kwenye chumba cha darasa yakaanza kupiga tick sehemu ya mgombea wa ccm yaani watu wote wanajua huku mpaka aibu.Huku kwetu walijiandikisha 133 waliopiga kura ccm 1 TLP 0 ...mzee wa kiraracha mmeshindwa hata kumpa kijiji?
Anayeagiza haya sijui ana akili gani?Vichaa watatu wanashangilia kusimikwa bila ridhaa kuwa viongozi wa serikali za mitaa
Misukule ktk ubora wao...
Mnaangalia ushindi? Mmeshindana na nani? Na mmemshinda nani?Sisi tunaangalia ushindi hizo idadi za wapiga kura wawe wachache au wengi sio ishu ya chama ,chama ishu yake ushindi
State agent
Mwambie kiongozi wako afuate matakwa ya katiba Kama hatalia kuona wingi wa watu kwenye mikutano ya wapinzani.Mnalazimisha hii issue iendane na hisia zenu tu lakini mambo ni tofauti.
Kama wagombea wao wana uhakika ya ushindi,wakapige kura ya nini sasa?
Kama unadhani wanaungwa mkono to that extent waambie waitishe maandamano tuone idadi ya hao wanaowaunga mkono barabarani!
Nyie mnawaza hayohayo tuYaani hapo ni sawa na kusema kwamba,: mtu kakuvizia umelala kakupiga bao halafu unamka unasema japo kanipiga bao lakini hana hata furaha. Sasa atakosaje furaha wakati alikusudia kukupiga bao ukiwa umelala
View attachment 1273738Nyie mnawaza hayohayo tu
Huu utetezi hauna mashiko Mimi sizungumzii mikutano bali kuandamanisha watu kupinga hata haya matokeo tu tuone kama kweli huo uungwaji mkono.Mwambie kiongozi wako afuate matakwa ya katiba Kama hatalia kuona wingi wa watu kwenye mikutano ya wapinzani.
Watajaa na Hali kwenye mikutano yake watakuwa wa kumlika na tochi.
Hebu tuambie huo Upinzani ulio kichwani kwako utapita kwa lipi? Kwa sera zipi? Kwa jambo gani kubwa waliloliganya la kuwafanya wananchi wawe upande wao?Endapo huo ujao utafanyika bila magumashi na ufeshuli kama huu wa mitaa, na chini ya tume yauchaguzi isokuwa na bosi wake ambaye ni mgombea, hakika upinzani utatikisa kuliko chaguzi zote zilizopita. Huu uchafuzi ulopita umewaudhi wengi hata wanaccm wwnyewe.
Sasa wangeshirikije wakati wagombea wao zaidi ya asilimia 90 walienguliwa? Ulienda shule kweli wewe?Acha kutupumbaza je mwaka kesho wabunge ,na madiwani wa vyama hivyo watasusia uchaguzi?
Kama jibu ni hapana,basi wamewahadaa wenzao.
Hebu tuambie huo Upinzani ulio kichwani kwako utapita kwa lipi? Kwa sera zipi? Kwa jambo gani kubwa waliloliganya la kuwafanya wananchi wawe upande wao?
Hii itapendeza zaidi maana watatupunguzia gharama za uchaguzi. hiyo pesa ielekezwe kwenye shughuli nyingine za maendeleo