leveroi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 374
- 322
Endapo huo ujao utafanyika bila magumashi na ufeshuli kama huu wa mitaa, na chini ya tume yauchaguzi isokuwa na bosi wake ambaye ni mgombea, hakika upinzani utatikisa kuliko chaguzi zote zilizopita. Huu uchafuzi ulopita umewaudhi wengi hata wanaccm wwnyewe.Ulitaka wajitokeze kwenda wapi wakati 98% wagombea walipita bila kupingwa?? Waambie wasithubutu kuugomea huo ujao labda wa kuziba pengo tu au dirisha dogo litakapofunguliwa January kwa wale mnaotaka kurudi kundini kabla ya uchaguzi mkuu