King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Wewe mpuuzi kweli. Sasa wangeshirikije wakati wagombea wao zaidi ya asilimia 90 walienguliwa? Ulienda shule kweli wewe?
Maana yake ni kwamba kama wagombea hawataenguliwa watashiriki. Wakienguliwa kama ilivyokuwa kwa serikali za mitaa utataka washiriki uchaguzi hewa?