kajima
JF-Expert Member
- Dec 5, 2009
- 1,289
- 513
Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
Upinzani ndio umeleta mabadiliko CCM, ulichoandika ni wrong strategy. Tuwe wakweli kwa nafsi zetu.