Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Dawa ya upumbavu huu Pascal ni katiba ya wananchi . Na Katiba haiwezi kuja hivi hivi, kwa kuiomba toka kwa viongozi wa ccm, walikamia kukaa madarakani kwa gharama zozote. Katiba lazima ipiganiwe ikibidi kwa maisha . Ili wajukuu zetu wasikutane na utumwa huu
Hakuna maendeleo chini ya ccm yatashuhudiwa zaidi ya porojo na propaganda . Omba uhai ushudie aibu mwisho wa awamu ya tano .
Hakuna maendeleo chini ya ccm yatashuhudiwa zaidi ya porojo na propaganda . Omba uhai ushudie aibu mwisho wa awamu ya tano .