Uchaguzi 2020 Vyama vya upinzani msipogomea uchaguzi 2020 bila tume huru tutawashinikiza sisi wanachama

Uchaguzi 2020 Vyama vya upinzani msipogomea uchaguzi 2020 bila tume huru tutawashinikiza sisi wanachama

TUME HURU YA UCHAGUZI NI MUHIMU
PILI NI MAHAKAMA ILIYO HURU
TATU, VYOMBO VYA DOLA VISIJIHUSISHE NA
URATIBU WA KARIBU WA MASUALA YA UCHAGUZI, KAMA VINATAKA KUSHIRIKI BASI VIWE HURU
NNE, KUTOTUMIA RASILIMALI ZA SERIKALI KWENYE KAMPENI ZA SERIKALI NA NAFASI SAWA KATIKA REDIO NA VITUO VYA LUNINGA
 
suluhisho ni ni unadhani tuwaangalie tu ,tushiriki wajipe ushindi?
Mmesusia uchaguzi wa serikali za mitaa, matokeo yake mkapoteza hata vijiji/ kata/miji/wilaya mlizokuwa mnaongoza, hiyo imewanufaishaje nyie kama chama? Kwa nini muendelee kurudia kitu ambacho hakina manufaa kwenu kama chama?
Nimesema kwenye post yangu, "ukitaka kujadiliana na ccm ili kuleta change lazima uwe na kura ya turufu mkononi" ndo unaweza kuwafanya muwe na majadiliano ya maana. Kama wana rais, wana wabunge 98%, wanaongoza serikali za mitaa 99%, una kitu gani kinachoweza kuwatisha mpaka wakusikilize?!
Chadema mnapaswa kufikiria deeper, siyo kufikiria juu juu tu.
 
Bila kuwepo tume huru, siwezi poteza muda wangu, sitoenda kupiga kura.
Huwa namkubali sana Lowasa.
"Nendeni kapigeni kura suala la kulinda kuhesabu kura niachieni mimi"
"Yule bingwa wa kuiba kura kutoka CCM Bw. Matson Chizii tunaye CDM".
Hii ilikuwa saikolojia kubwa sana iliyofanya watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura na hatimae upinzani ukapata 40% na wabunge kibao. Ni katika uchaguzi huu ndio upinzani ulikuwa kwa zaidi ya 100% ukilinganisha na ule wa mwaka 2020.
Leo hii wanasiasa wanadanganyana na kuhamasishana kutopiga kura.
Zanzibar hawakuwa na Tume huru lakini upinzani waliweza kupata 49% ya kura za Urais na wabunge zaidi ya 45%. Kule Pemba wanashinda kwa 100% bila tume huru. Hata chadema mikoa ya kaskazini na musoma wanashinda mpaka CCM wanaogopa na wanakosa wagombea. Halafu mpumbavu kama wewe unaapa kutopiga kura ili uje kudai mnaibiwa
Hakuna impact yoyote pale unapodai umeibiwa wakati waliojitokeza ni wanaccm za mmeambulia 15%
 
Tume huru,fala kweli wewe
Vyama vya upinzani chondechonde msije mkakubali kuingia kwenye uchaguzi 2020 bila tume huru.

Hulka na tabia ya jiwe na serikali yake mmeshaiona hawana aibu heshima staha Wala huruma kwenu Wala hawaifwati katiba.

Kama jiwe ameweza kuchezea uchaguzi wa serikali za mitaa bila kufanywa lolote Wala kutokea chochote msitegemee atakuwa mstaarabu octoba 2020.

Mkae mkijua kabisa Kama wakati wa JK kwa demokrasia ile tulishinda na bado tukahujumiwa vipi Sasa wakati wa dikteta jiwe?

Anzeni Sasa nawashauri mwezi huu wa kwanza usiishe kabla hamjaiambia dunia kuhusu ulazima wa kuwepo tume huru ya uchaguzi.

Bahati nzuri dunia nzima inamchukia jiwe na inamfahamu hulka yake sapoti itakuwa kubwa Sana na mwangwi wake utasikika Sana kuliko wakati wowote katika historia ya taifa letu.

Upinzani kumbukeni mnashindana na mtu asie na chembechembe ya ustaarabu hata kidogo Hilo mlijue.
JK alikuwa muungwana huyu ni kinyume chake ni mtu asie wa kawaida hivyo haitaji treatment ya kawaida.

Mkiingia kwenye UCHAGUZI bila kushinikiza tume huru mjue mmebariki suicide (mauwaji) maana ni sawa na kwenda kupigana na Askari mwenye smg wewe ukiwa na njiti ya chelewa Kama fimbo Kama silaha yako ya utetezi dhidi ya smg.

Upinzani kumbukeni watu wamechoka haya maisha wanasubiri mtu wa kumfunga paka kengele watoto wa mjini wanasema mtu wa kulianzisha au kukinukisha (kwa kufuata Sheria za nchi) mtapata sapoti kubwa mno.

Mpinzani wenu ambae ni CCM hakubaliki popote na jamii yoyote ya watanzania ila anatumia dola na propaganda kuwadanganya watu anakubalika kumbe sivyo.

Upinzani narudia Tena na Tena na Tena msije mkaingia kwenye ballot box mkitegemea favor itakuwa imekula kwenu.

Bashiru mmemsikia amesema wazi msitegemee tume huru Maana tume haipigi kura huu ni ujumbe tosha kwenu.

Polepole kawaambia wanaandaa mpango wa kutawala miaka 70 ijayo huo ni ujumbe kwenu upinzani akili kumkichwa.

Jiulizeni kwanini wanaanza kuweka mzinga/kuchonga mzinga wa mwewe (tiss) Zanzibar? Hio inapaswa kuwa alarm kwenu upinzani.

Kuna yanayofanyika gizani na hadharani kuandaa hujuma dhidi ya mazingira yoyote yatakayojiinua kuwabeba msije sema hatukuwaambia.

Kusoma hamuwezi hata picha hamuioni?

Narudia Tena upinzani mwezi huu wa January usiishe bila kutoa tamko Kali la kudai kisheria na kikatiba mabadiliko ya katiba.

Madai yenu mya file UNO/EUROPEAN UNION/ BALOZI ZOTE NK kwajili ya rejea na ufwatiliaji.

Narudia Tena mnapambana na mtu asie muungwana mkiwa soft atawaumiza mkiwa stiff atawaumiza.

Usiku mwema!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume huru ni kwa faida ya wote wenye mapenzi mema kila mmmoja atie nia atuwezi ongozwa na katiba mfu kwa ulimwengu wa sasa
 
Huko vijini amefanya vitu gani vya maana?
Mbona madarasa hakuna?
Mbona wazazi wanalazimika kuchangia Tsh.10, 000 kwa ajili ya walimu wa masomo ya sayansi?
Mbona huku vijini maji ni janga kubwa?
Mbona kila mtoto anayetakiwa kuanza kidato cha kwanza analazimika kwenda na kiti na meza yake?
CCM haikubaliki bali watu wamejaa woga mioyoni mwao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

kwan ulitaka hio turning point iwe ya sku moja! take time bana au we upinzan maaana upinzani hawaelewagi mambo
 
Hayo mazuri ni wajibu wake maana anapokea mshahara, ila hana uhalali wowote wa kutupatia viongozi kwa nguvu. Hata akiua hivyo vyama, tusiomkubali hatutamkubali tu, maana humu mitandaoni sio ofisi za chama chochote useme hivyo vyama ndio vinavyomkosoa huku mitandaoni, au uwepo wa hivyo vyama ndio vinafanya yeye akosolewe humu mitandaoni. Kama umeamua kumsifia hiyo ni haki yako, kama wengine walivyo na haki ya kumkosoa.

kwani wewe unataka nan awe kiongozi
 
Back
Top Bottom