Uchaguzi 2020 Vyama vya upinzani msipogomea uchaguzi 2020 bila tume huru tutawashinikiza sisi wanachama

TUME HURU YA UCHAGUZI NI MUHIMU
PILI NI MAHAKAMA ILIYO HURU
TATU, VYOMBO VYA DOLA VISIJIHUSISHE NA
URATIBU WA KARIBU WA MASUALA YA UCHAGUZI, KAMA VINATAKA KUSHIRIKI BASI VIWE HURU
NNE, KUTOTUMIA RASILIMALI ZA SERIKALI KWENYE KAMPENI ZA SERIKALI NA NAFASI SAWA KATIKA REDIO NA VITUO VYA LUNINGA
 
suluhisho ni ni unadhani tuwaangalie tu ,tushiriki wajipe ushindi?
Mmesusia uchaguzi wa serikali za mitaa, matokeo yake mkapoteza hata vijiji/ kata/miji/wilaya mlizokuwa mnaongoza, hiyo imewanufaishaje nyie kama chama? Kwa nini muendelee kurudia kitu ambacho hakina manufaa kwenu kama chama?
Nimesema kwenye post yangu, "ukitaka kujadiliana na ccm ili kuleta change lazima uwe na kura ya turufu mkononi" ndo unaweza kuwafanya muwe na majadiliano ya maana. Kama wana rais, wana wabunge 98%, wanaongoza serikali za mitaa 99%, una kitu gani kinachoweza kuwatisha mpaka wakusikilize?!
Chadema mnapaswa kufikiria deeper, siyo kufikiria juu juu tu.
 
Bila kuwepo tume huru, siwezi poteza muda wangu, sitoenda kupiga kura.
Huwa namkubali sana Lowasa.
"Nendeni kapigeni kura suala la kulinda kuhesabu kura niachieni mimi"
"Yule bingwa wa kuiba kura kutoka CCM Bw. Matson Chizii tunaye CDM".
Hii ilikuwa saikolojia kubwa sana iliyofanya watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura na hatimae upinzani ukapata 40% na wabunge kibao. Ni katika uchaguzi huu ndio upinzani ulikuwa kwa zaidi ya 100% ukilinganisha na ule wa mwaka 2020.
Leo hii wanasiasa wanadanganyana na kuhamasishana kutopiga kura.
Zanzibar hawakuwa na Tume huru lakini upinzani waliweza kupata 49% ya kura za Urais na wabunge zaidi ya 45%. Kule Pemba wanashinda kwa 100% bila tume huru. Hata chadema mikoa ya kaskazini na musoma wanashinda mpaka CCM wanaogopa na wanakosa wagombea. Halafu mpumbavu kama wewe unaapa kutopiga kura ili uje kudai mnaibiwa
Hakuna impact yoyote pale unapodai umeibiwa wakati waliojitokeza ni wanaccm za mmeambulia 15%
 
Ni vema ukarahisisha kutaja hiyo tume huru ni ipi? Au unamaanisha iwe inaongozwa na watu wanaokubalika na chama chako?au vinginevyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume huru,fala kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume huru ni kwa faida ya wote wenye mapenzi mema kila mmmoja atie nia atuwezi ongozwa na katiba mfu kwa ulimwengu wa sasa
 

kwan ulitaka hio turning point iwe ya sku moja! take time bana au we upinzan maaana upinzani hawaelewagi mambo
 

kwani wewe unataka nan awe kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…