Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
Mpina yupo sawa nashauri wananchi wote wa no reform wampigie kura kama atagombea ubunge ila akigombrmea urais kanuni ni moja tu NO REFORM...NIMESIKIA MPINA WANATAKA WAMPE KUGOMBEA URAIS NAMSHAURI ASIKUBALI HUO UJINGA
 
Mpina yupo sawa nashauri wananchi wote wa no reform wamoigie kura kama atagombea ubunge ila akigombrmea urais kanuni ni moja tu NO REFORM...NIMESIKIA MPINA WANATAKA WAMPE K7GOMBEA URAIS NAMSHAURI ASIKUBALI HUO UJINGA
Mpina kugombea urais kwasasa sio swali tena . Mpaka umeona ACT wana m nominate ujue imeisha hiyo
 
Inashangaza toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza mpaka leo upinzani wa nchi hii bado unasuasusa
Ni kwa sababu watu wanataka kula keki na kuendelea kuwa nayo. Wanategemea siku moja CCM watakuwa na huruma na busara.
 
Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
Ww lipumbavu sasa si ndo democracy uhuru wa kuhamia na wapi wamesema anapewa nafasi kubwa...... angalia kenya kanu kwaka 2002 iliondolewa baada wana kanu kuhamia upinde.....pia zambia ....pia ghana uhuru wa kuhama na kuchaguliwa
..

ukiwa lijinga una akili ya zege kujua eti vyana ni stagnant no vyama ni dynamic always...
 
Halafu mimi nilijua tayari ndg zako wamekutafutia rehab unapata matibabu ya methadone kumbe bado upo kitaa. Nakuombea Mungu upate uponyaji . Najua sio akili zako hizo
 
Halafu mimi nilijua tayari ndg zako wamekutafutia rehab unapata matibabu ya methadone kumbe bado upo kitaa. Nakuombea Mungu upate uponyaji . Najua sio akili zako hizo
Wewe huwa unaleta mauvi ya kijinga jinga we ndo maana ulipeta kipara ukiwa na umri mdogo sababu akili huna
 
Back
Top Bottom