Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Siku tutakapoanza kujua kuwa vyama vya siasa vipo kama vikoba kwaajiri ya kuwanufaisha wanachama wachache na viongozi wake na sio taifa au raia wote ndipo tutaanza sasa kuelewa umuhimu wa kutengeneza taifa lenye raia wanaojua maana ya uzalendo na kujenga taasisi imara kwenye inchi.