Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

Narudia tena mi huwa siongei na kirema wa nywele...na upara wako huo
Kwa upungufu wako wa akili unaona hilo tusi ni la kuniumiza hhhh yaani nacheka tu hapa . Wewe ni teja ila nakukubali kwasababu wendawazimu wako kwangu nakuona ww ni kituko ww ni comedy kwangu
 
Mpina kugombea urais kwasasa sio swali tena . Mpaka umeona ACT wana m nominate ujue imeisha hiyo
Kosa kubwa sana alitakiwa kugombea ubunge na chadema wamuunge mkono kwa kuondoa no reform kwenye jimbo lake analo gombea. Ukweli ni kwamba 2025 hakuna uchaguzi huo ndiyo ukweli hivyo anapoteza muda bure
 
Kwa upungufu wako wa akili unaona hilo tusi ni la kuniumiza hhhh yaani nacheka tu hapa . Wewe ni teja ila nakukubali kwasababu wendawazimu wako kwangu nakuona ww ni kituko ww ni comedy kwangu
We kirema wa nywele na mtumbo mkitambi kama fuko la mavi kaaa kimya
 
Kwa mtazamo wangu, tatizo sio vyama.. Tatizo naliona kwa wanachama. Hivi hizi akili za waTanganyika unazielewa kweli? Kuna baadhi ya watu wamejitahidi kusimama imara na kuamsha fikra za watu, wamejitahidi kwa kila namna lakini embu tazama upeo wa wengi wa waTanganyika, ni zzzzzzz, unataka hivyo vyama vifanye nini kwa mfano?, kuna mambo hayahitaji hata hivyo vyama ni kutumia common sense tu na kuchukua hatua bila kujali vyama, lakini wapi, wamelala yoooo. Hapa labda ashuke malaika mwenyewe, naye asipojipanga atakatwa na wajumbe.
 
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuni
 
Nasema vyama vya upinzani maana naona kuna makosa
We kirema wa nywele na mtumbo mkitambi kama fuko la mavi kaaa kimya
Ama kweli unga mbaya kijana unateseka haujioni ... unasikitisha unadhani kutukuna ndio kujenga hoja

Ww tukana kila tusi nakuona kituko tu hakuna tusi jipya hapo . Ukimaliza kutukana endelea kutumia dawa zako za methadone
 
Matatizo yapo kote ila kwa ujumla tunayakusanya pamoja tunavinyooshea vidole vyama na uongozi wao mbovu usio jifunza kutokana na makosa wanayoyafanya mara kwa mara
 
Ukimaliza kaotesha nywele uturuki upara ni kilema hicho ndo maana huna akili sawa sawa kila siku kulete mi uzi ya kipumbavu
 
Ukimaliza kaotesha nywele uturuki upara ni kilema hicho ndo maana huna akili sawa sawa kila siku kulete mi uzi ya kipumbavu
Ww unatapatapa hauna hoja nakupa ushauri wa bure utakao kusaidia katika maisha yako , unapoona mtu ametoa hoja ambayo unapinga nayo usitumie matusi kumsahihisha huyo mtu jenga hoja nzito zaidi utakuwa umetoa mchango positive. Ukituletea lugha za kihuni za vijiweni watu kama cc tunaishia kukudharau nakukuona kama cartoon wa masoud kipanya
 
Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
Bro upo nchi hi hi hi, au unaishi Massachusetts! Wanayofanyiwa chadema, lisu huyaoni!
Au upo kwenye denial!
Some people!
 
Endelea kuniona katuni sababu huna nywele kichwani kama wewe mjanja miliki kitana uchane nywele never hata kampuni za vitani zinajua huwezi kuwa mteja wao

huwezi sababu huna nywele ana akili nywele wewe huna una kilema kichwani ....na upara wako
 
Chama cha upinzani ni kimoja tu ,chadema chini ya mwenyekiti lisu .
We ndio maana ni nyumbu 2015 mgombea wa urais wa chadema alitokea wapi? Ni umesahau au? Walitokea wagombea wangapi wa ubunge kupitia Chadema wakitokea CCM? yaani miaka 10 tu umeshasahau?
 
Wewe ulishalaaniwa ndioomaana unavuta madawa ya kulevya chini ya mitaro ya maji machafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…