Hapo umesema ndiyo maana watawala hawalali usingizi. Kila siku wanajaribu mbinu za kuinyamazisha. Na kama watashindwa safari hii. I tell u. Watakufa wao. Maana mwenda zake alitumia mbinu chafu nyingi sana lakini yaliyomkuta kila mtu ni shahidi. Na sasa ni kama wanaanza kuamini kuwa wameshinda vita. Lakini na mimi naanza kuamini kuwa haifi na inaonyesha uhai mwingi mno. Ngoja tuone hatima yake