Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

Na wewe nani? Nyumbu? Basi sawa.
Wewe mbuzi jike naona ulivyorembua.
1572191514828.jpeg
 
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.

Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.

Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.

Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.

Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.

Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.

Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
hakuna upinzan Tz,,wote wachumia tumbo tuu
 
Mbona mungu wwenu anateua toka upinzani kuwapa kazi na kuwaachia masalia mkisugua bench,watu makini wako upinzani huwezilinganisha na wazee Wa ndio
 
Vyama vya upinzani Tanzania wamejitahidi kwa kiasi kikubwa kufanya siasa za kuwawezesha kuiangusha CCM. Kikwazo kikuu cha vyama vya upinzani siku zote ni TISS na Police na jeshi kwa ujumla. Kuna kipindi CCM anapigwa na kugalagazwa lakini vyombo vya dola vinawahi Kum rescue ccm. Vinaingilia na kununua mpambano. Viongozi wa vyama vya upinzani wanatishwa, wanateswa, wanafilisiwa, wananyanyaswa, wanauliwa kila kukicha na vyombo vya dola.Ni mara kadhaa, badala ya kupambana na CCM , vyama vya upinzani vinapambana na vyombo vya dola. Yuko wapi Mawazo, yuko wapi Ben, yuko wapi Mwangosi? Tundu Lissu ana hali gani? Nani ataacha kuogopa katika hali hiyo? Nani ataacha kuvunjika moyo katika hali hiyo?

Unaposema vyama vya upinzani hawana mipango, hiyo mipango wataifanyia wapi? Vyama vya upinzani vimepigwa stop kujishughulisha na siasa; si mikutano ya ndani wala ya hadhara iliyoruhusiwa. Wafanyee nini? Waue mtu? Mbinu pekee iliyobaki ni kuingia mstuni. CCM siyo chama cha siasa ni genge la Mafia. CCM hawapo tayali kupambana fairly katika sanduku la kula, hawapo tayali. Bahati mbaya vyombo vya usalama vipo incorporated na CCM. Halafu mpuuzi mmoja anajibebedua , ,' vyama vya upinzani hawana mipango wala mbinue,' Jinga kweli
 
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.

Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.

Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.

Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.

Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.

Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.

Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!

Nakuunga mkono kwa baadhi ya mambo tu othewise upinzani Tanzania umekuwa mara dufu na impact inaonekana tokea vyama hivi vilivyoanzishwa mwaka 1992 hadi sasa upinzani unakua Tanzania na kila baada ya miaka 5 kuna changes kubwa na ukweli ni kwamba chama tawala wanaogopa sana upinzani wanakuwa na tahadhari kubwa sana.

Lakini weakness kubwa niliyoiona mimi kwa mfano kule Zanzibar tokea 95 upinzani CUF imekuwa ikishinda uchaguzi lakini hawapewi ama kuna njia nyingi huporwa ule ushindi sasa weakness hii sijuwi tuseme upinzani umekosa strategies za kujiandaa vipi watalinda ushindi wao nadhan wanafeli sana kuweza kuoganize na wananchi katika kuondoa hofu namna ya kudai haki zao.

Viti vya ubunge na uwakilishi vinaongezeka kila chaguzi kwa hiyo ni dalili tosha upinzani unakua Tanzania tena kwa kasi ya ajabu sana, Nilishangaa sana kwa mfano CUF ya maalim seif ilikuwa na ikipata mbunge 1 au 2 kule bara lakini ulipokuja ule Ukawa wakaweza kutengeneza wabunge 10 Tanzania bara hili ni tishio kubwa kwa uhai wa chama tawala.

CHADEMA ilianza kwa kujifunza siasa za Zanzibar nayo imepiga hatua kubwa nadhan kila chaguzi inaongeza wawakilishi bungeni wanachama na wafuasi pia lakini pia weakness kubwa inaonekana kule bara kuna watu wengi pia wameshindwa kushawishi wananchi kwa njia yeyote kusimama imara kudai haki zao kwa mfano saivi wamezuiliwa mikutano ya kisiasa kwa upande wa upinzani nk lakini upinzani kama umepata baridi kali upo upo tu hakukua na njia mbadala kudai zile haki na kufanikiwa kupata hizi haki za upinzani.

Jambo kubwa nililojifunza kuwa baya zaidi kwa upinzani Tz ni kuwa na viongozi legelege ambao hawana msimamo wa kudumu zaidi Tanzania bara ata shilingi laki 5 unaweza kumnunua hata mbunge.
 
Kama wapinzani ni dhaifu kwanini mliwaita watendaji ikulu na kuwapa semina elekezi ya kuharibu form za wapinzani na kukimbia ofisi?
 
Tulikuwa na CHADEMA iliyokuwa strong yenye misingi na agenda zilizogusa mahitaji na kukubalika na watu wengi.

Kiongozi wake akatumia ubabe kumleta Lowasa na kuzika agenda zote zilizoikuza CHADEMA. Wakamtosa Slaa na kuanzisha kampeni ya kumchafua. Lakini wakasahau Dr Slaa ndiye aliyeikuza CHADEMA toka chama cha mfukoni Kama cha Hashim Rungwe hadi kuwa chama kikuu cha upinzani. Kumbuka kura alizopata Mbowe alivyogombea Urais Mara 2!

Chama kikapoteza misingi yote iliyokikuza na kuhamua kuwa chama cha propaganda za kuchafua, kutunga uongo (rejea walivyoshabikia upumbavu wa Kigogo) na kupinga kila kitu kupitia mitandaoni.

Chama kikawa cha tweeter na instagram, tena kisichoeleweka kinasimamia nini.
 
Nani kakwambia Tanzania kuna chama cha upinzani !,kuna kuvikundi vya waasi

State agent
I wouldn't go that far kuwaita maghaidi au hakuna vyama vya upinzani. Sio sahihi.
Kuna vyama lakini vyenye mapungufu mengi sana ktk mifumo yake ya maamuzi.
Mfano kuwa na kitengo maalum kinachoendeshwa na kanuni maalum za kupitisha wagombe, kuwachuja, kujiingiza au kujitoa kushiriki chaguzi.

Kwa hali iliyopo sasa kwenye kurugenzi zao za chaguzi na zingine hakuna muendelezo na misimamo chanya ktk maamuzi .
Namaanisha hakuna 'consistency' ya kufuata sera na taratibu flani za hayo niliyotaja juu.
Na ndio maana yanatokea mambo ya kubadili gia angani kama 2015,
Kuchagua nani awe nani na kitu gani tushiriki au tusishiriki,
Dira na sera zetu za kudumu ni nini.

Viongozi na wanachama wengi wa vyama vya upinzani wamekosa kuelewa ile elimu nzuri sana iliyotolewa na Nyerere ktk andiko lake la TUJISAHIHISHE.
Hawataki kukubali makosa na kujisahihisha. Kwao kufanya hivyo ni kuonekana dhaifu.
Yeyote nanyepingana na uongozi wa juu (simaanishi Mwenyekiti) huonekana msaliti.

Wanachama nao hawaepuki lawama hizi, wengi ukikosoa chama chao au una ambulia matusi badala ya kusikilizwa hoja yako na kukukosoa au kukujibu kwa hoja.
Huenda wangekusikiliza wangejua shida yako ni nini na wapi unakosea ktk dhana yako.
Mfano Nyerere anasema Mtu mmoja anasema 2 na 3 inakuwa 6, na wengine wanasema 3 na 3 inakuwa 5. Hapo kinachotakiwa asikizwe huyo wa kwanza kwanini anasema 6, utakuta yeye amefanya hesabu ya kuzidisha kumbe alitakiwa ajumlishe hizo namba apate 5.
Kama mtu huyu akieleweshwa alitakiwa ajumlishe, mwishowe atakubaliana na ninyi wengi mliosema 2 na 3 unapata 5.
Hiyo itakuwa rahisi kumshawishi awafuate mawazo yenu, ukimshambulia unamkimbiza na kumpoteza.

You see what I mean?
Wanasiasa nendeni mkavune maarifa ya Nyerere hapa TUJISAHIHISHE-JK_Nyerere_1962

Politics is art, politics is science, politics is everything.
 
Nani kakwambia Tanzania kuna chama cha upinzani !,kuna kuvikundi vya waasi

State agent
Kamuulize mwenyekiti wako,mpaka kuamua kuwa live kwenye luninga yeye pekee yake na si bunge wala mtu mwingine,kuingia gharama za kuwaita wEO wa nchi nzima ikulu,unadhani ni mchezo?
 
Mbona mnahangaika sana? vyama visivyo na mikakati mbona mnaita mpaka watendaji wa kata ikulu kufanya mipango ya uchakachuzi? mmeshikwa pabaya, mbona hamtaki 100% yenu mliyokusudia?
 
Back
Top Bottom