SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe mbuzi jike naona ulivyorembua.Na wewe nani? Nyumbu? Basi sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbuzi jike naona ulivyorembua.Na wewe nani? Nyumbu? Basi sawa.
Endeleeni kupost ujinga na kujisifia wajuaji. CCM inashika dola.Wewe mbuzi jike naona ulivyorembua.View attachment 1261883
hakuna upinzan Tz,,wote wachumia tumbo tuuVyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.
Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.
Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.
Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.
Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.
Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.
Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.
Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.
Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.
Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Wewe unafaidika nini?Endeleeni kupost ujinga na kujisifia wajuaji. CCM inashika dola.

Nafaidika na mengi. Nikutajie?Wewe unafaidika nini?
Huna haja ya kutaja vinajulikana unavyofaidi huko CCMNafaidika na mengi. Nikutajie?
Huyu ni mwanachama wetu muhimu sana. Anawahenyesha vilivyo ndio maana kutwa kuchwa hamuachi kumpost!Huna haja ya kutaja vinajulikana unavyofaidi huko CCMView attachment 1262132
Zaidi ya nusu karne hilo genge liko madarakani lakini wewe bado unaishi kwa kulamba miguu ya watu ndiyo upate mkate wa siku.Nafaidika na mengi. Nikutajie?
Kwa hiyo mumeishiwa hoja sasa mna recruit hadi machoko.Huyu ni mwanachama wetu muhimu sana. Anawahenyesha vilivyo ndio maana kutwa kuchwa hamuachi kumpost!
I wouldn't go that far kuwaita maghaidi au hakuna vyama vya upinzani. Sio sahihi.Nani kakwambia Tanzania kuna chama cha upinzani !,kuna kuvikundi vya waasi
State agent
Wewe inakuuma nini? Mbona wewe unamramba Mbowe mk...u na bado nakuchukulia poa tu?Zaidi ya nusu karne hilo genge liko madarakani lakini wewe bado unaishi kwa kulamba miguu ya watu ndiyo upate mkate wa siku.
Na huyu ni mwanachama wetu na tunamkubali sana. Post mwingine!Kwa hiyo mumeishiwa hoja sasa mna recruit hadi machoko.View attachment 1262137
Kamuulize mwenyekiti wako,mpaka kuamua kuwa live kwenye luninga yeye pekee yake na si bunge wala mtu mwingine,kuingia gharama za kuwaita wEO wa nchi nzima ikulu,unadhani ni mchezo?Nani kakwambia Tanzania kuna chama cha upinzani !,kuna kuvikundi vya waasi
State agent