Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

CCM inaikalia kimabavu Zanzibar, ni muda wao muafaka wa kufanya mabadiliko kupitisa sanduku la kura. Police acheni mziki wa CCM na ACT uendeleaa mkiingilia mtauwekea petrol mzozo huu.
 
Lakini kwanini wa zazibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zazibar tu na wazazibari ndo wanao chukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
watu wanaogopa kunyimwa haki ya kuishi. DAB bado yupo kwenye payroll
 
Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa

Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na kikosi cha polisi.

Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza kuripoti juu ya tukio hili ambalo kwa vyovyote litatia doa nchi na kupelekea waangalizi wakubwa wa kimataifa kujiridhisha kua kuna uminywaji wa demokrasia na haki za binadamu, watu wanataka madaraka kwa nguvu japo watu wameamua kupiga kura ya mabadiliko lakini inavyoelekea chama tawala hawawezi kukubali hilo.

Hii itoshe tu kusema kua habari zimeanza kusambaa dunia nzima.
 
Ndio salama yetu
Kwasababu mbili kuu
1)Sisi kama Waafrika,hatujui tunachokitafuta hasa....

2)Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake

Salama kwetu
Ni kukaa kimya na kuienzi amani tuliyokuwa nayo....hata kama Haki haipo

Amani unayo wewe kanisani, Sisi ndugu yetu amekuja kuchukuliwa usiku akafungwa gerezani , sababu ametaka kuoa mtoto wa mtu aliyetuhumiwa kwa ugaidi. Na yeye kawekwa kwenye kundi hilo . Sasa ni mwaka wa tano yuko ndani

Mume wa dada yetu kauliwa kwa kukatwa kichwa mbele ya mke na watoto wake . Waliofanya hivyo ni wavamizi kutoka Tanganyika.

Kuna amani hapa

Kieleweke au tutakosa sote. Kibaraka wa Mkuranga kaaaaatu hatawali hapa
 
Hasira haijengi Chief
Kaa chini,kisha fikiria ni wapi umekosea tokea mwanzo

Amani unayo wewe kanisani, Sisi ndugu yetu amekuja kuchukuliwa usiku akafungwa gerezani , sababu ametaka kuoa mtoto wa mtu aliyetuhumiwa kwa ugaidi. Na yeye kawekwa kwenye kundi hilo . Sasa ni mwaka wa tano yuko ndani

Mume wa dada yetu kauliwa kwa kukatwa kichwa mbele ya mke na watoto wake . Waliofanya hivyo ni wavamizi kutoka Tanganyika.

Kuna amani hapa

Kieleweke au tutakosa sote. Kibaraka wa Mkuranga kaaaaatu hatawali hapa
 
uwongo wa Chadema kwa sababu hakuna jamaa yako aliyekufa wala hujaathirika chochote , mlevi wewe
Kufa Akhy
Tutakufa sote,imma kwa njia hii au njia nyengine
Kila jambo Mola wetu amelipanga kwa makusudio
 
😛😛😛😛😛
Bro
Ushauri wangu kwako
Hakuna mafanikio katika haya mambo,rudi katika Uislam,kisha angalia ni wapi sisi tumekosea

Kinyume na hivi
Watu wamejaa tamaa mno
Ni sawa na Mbwa Mwitu,alieuzunguuka Mzoga

ukitaka ugomvi nae
Mnyang'anye mzoga wake
 
Back
Top Bottom