technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Yale yale aliyoyasema kwamba vyombo vya habari haviko huru kuanzia Clouds, Azam, ITV wameshindwa kabisa kuwa huru kuipa airtime hii habari, Pamoja na kuwa trending news africa kupitia mitandao ya kijamii,BBC, VOA, DW lakini wao wamekuwa kimya.
Wakati wako tayari kurusha habari ya TLP kumpitisha Magufuli kuwa mgombea wao lakini Lissu kupewa airtime hapana.
Lakini nawapa somo kuwa makini juu ya kuingiza siasa kwenye taaluma ya habari maana siasa ni kama gwaride nawakumbusha pia sisi ndio wasikilizaji wenu na ndio tunaleta matangazo ya biashara kwenye media zenu kuogopa udicteta kuna siku mtakosa na biashara kama TBC.