idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Vyombo vyetu vya habari vingekuwa huru, Wewe ilibidi uwe Mwandishi na mtangazaji nguli nchini.Mkuu, Technical , hili ni jibu kwa mada ya Mkuu Chakaza,
P
- Kwanza naunga mkono hoja na kwa vile na mimi ni mwandishi wa habari, naomba niwe miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo wa mada hii ambaye ni mchezaji na niko uwanjani. Mwanzo nilikuwa critic wa Magufuli, lakini sasa baada ya kujiridhisha kuwa Magufuli is doing something for this nation, sasa namsupport, media zinam support na waandishi wanaojitambua, pia wanamsupport.
- Jukumu la media ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, ili media ziweze kutimiza majukumu yake hayo, they have to survive. Ili media zi survive, ni lazima ziende na wakati kwa kusikilizia nguvu ya soko, kwa soko la sasa, nguvu za soko zinaelekeza habari za Magufuli. Hivyo tunaishi kwenye ulimwengu wa laws of the jungle, struggle for existance, survival for the fittest!, Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer! - JamiiForums
- Media kwenye kutoa habari, habari huwa inapimwa kutokana na uzito. Uzito unapimwa kwa vigezo, big names makes news, the biggest name in Tanzania ni rais wa JMT, sasa akiongea rais wa JMT na akaongea KUB, automatically big news ni alichoongea rais wa JMT. Habari ya Lissu sio habari kubwa kivile!.
- Media inapaswa kuwa independent na ku play impartiality. Hivyo media is supposed kuwa ni Mhimili wa nne usio rasmi, jee media ya Tanzania ni independent?. Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo? - JamiiForums
- Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?. - JamiiForums
- Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?. - JamiiForums
- Pamoja na media kuwa impartial, media na waandishi individuals wana uhuru wa ku take sides, na kuunga mkono upande fulani. Hivyo sasa media nyingi na waandishi wengi wa habari wamegundua rais Magufuli ana nia njema na taifa letu na atatukomboa hivyo media nyingi na waandishi wengi wa habari nikiwemo mini, tumeamua kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais, hivyo hakuna ubaya wowote. Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? - JamiiForums
- Chadema kilipaswa kuwa na media yake na media zinazoiunga mkono Chadema, ili Mbowe akiongea au Lissu akiongea, zimtoe kwenye fonti fedi, vinginevyo waendelee kuhutubia kupitia Facebook, Twitter na YouTube. Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! - JamiiForums
Yaani mtu wa kufukunyua yaliyonyuma ya pazia kwa maslahi ya Taifa.
Sema ndio hivyo njaa haina baunsa.