Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

Nilishatoa tahadhari, ole kwa yule atakaye isambaza hotuba ya Lissu.

Naona mnaanza kuvilaumu vyombo vya habari.

Vinajipenda kuendelea kuwepo hewani. Mvumilie tu kuwa chama kuu kimeshika hatamu.
 
Mkuu, Technical , hili ni jibu kwa mada ya Mkuu Chakaza,
  1. Kwanza naunga mkono hoja na kwa vile na mimi ni mwandishi wa habari, naomba niwe miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo wa mada hii ambaye ni mchezaji na niko uwanjani. Mwanzo nilikuwa critic wa Magufuli, lakini sasa baada ya kujiridhisha kuwa Magufuli is doing something for this nation, sasa namsupport, media zinam support na waandishi wanaojitambua, pia wanamsupport.
  2. Jukumu la media ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, ili media ziweze kutimiza majukumu yake hayo, they have to survive. Ili media zi survive, ni lazima ziende na wakati kwa kusikilizia nguvu ya soko, kwa soko la sasa, nguvu za soko zinaelekeza habari za Magufuli. Hivyo tunaishi kwenye ulimwengu wa laws of the jungle, struggle for existance, survival for the fittest!, Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer! - JamiiForums
  3. Media kwenye kutoa habari, habari huwa inapimwa kutokana na uzito. Uzito unapimwa kwa vigezo, big names makes news, the biggest name in Tanzania ni rais wa JMT, sasa akiongea rais wa JMT na akaongea KUB, automatically big news ni alichoongea rais wa JMT. Habari ya Lissu sio habari kubwa kivile!.
  4. Media inapaswa kuwa independent na ku play impartiality. Hivyo media is supposed kuwa ni Mhimili wa nne usio rasmi, jee media ya Tanzania ni independent?. Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo? - JamiiForums
  5. Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?. - JamiiForums
  6. Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?. - JamiiForums
  7. Pamoja na media kuwa impartial, media na waandishi individuals wana uhuru wa ku take sides, na kuunga mkono upande fulani. Hivyo sasa media nyingi na waandishi wengi wa habari wamegundua rais Magufuli ana nia njema na taifa letu na atatukomboa hivyo media nyingi na waandishi wengi wa habari nikiwemo mini, tumeamua kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais, hivyo hakuna ubaya wowote. Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? - JamiiForums
  8. Chadema kilipaswa kuwa na media yake na media zinazoiunga mkono Chadema, ili Mbowe akiongea au Lissu akiongea, zimtoe kwenye fonti fedi, vinginevyo waendelee kuhutubia kupitia Facebook, Twitter na YouTube. Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! - JamiiForums
P
ila we jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanaona yote haya ndugu. Wanafikiri Magufuli atashinda mwaka huu kumbe Mungu ana mipango yake. Hivi Lissu ndo ashinde sijui wataanzaje kumuomba msamaha.

Kwa hizi figisu za waziwazi, Nina uhakika Mungu hawezi simama upande wa wanaomwonea Lissu. Mwaka huu utatoa funzo kubwa sana kwenye mustakabali wa nchi hii.
Wapinzani wakishinda uchaguzi, ccm watamwaga damu mwaka huu
 
Halafu utakuta waandishi wa habari na vyombo vyao wanadai haki ya kuhabarisha kuhusu uchaguzi lakini habari kama hii wanaiogopa kama gonjwa la Covid-19.

Shame on you mass media house owners, journalists, editors, Synovate, TEMCO, TWAWEZA.
 
Na hiyo ni ishara au jibu rasmi kutoka kwa watanzania walioko Tanzania kwamba lissu hatakiwi.

Msilazimishe mambo CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO a.k.a chadema hii sio ishara nzuri kwenu,

Anzeni kujiandaa kisaikolojia maoema.
 
Kulialia nako kunachosha.

Inaeleweka kwa kila mwenye akili, kwamba nchi yetu ipo chini ya utawala wa kidikteta usiovumilia ushindani wa aina yoyote.

Kama unatambua hilo kwa nini uendelee kulialia na kulalamikia hivyo vyombo unavyojua havina uhuru wala utashi wa kufanya unayoyategemea?

Jambo mhimu la kufanya katika hali inayoeleweka hivyo ni kufanya kila juhudi za kufikisha ujumbe kwa walengwa kupitia njia mbadala ambazo dikteta hana uwezo wa kuzizuia.

Kitu mhimu hapa ni ujumbe ufike kwa walengwa, sio aina ya njia ujumbe huo utakavyofika huko.

CHADEMA wanajua wazi wamefungiwa hivyo vyombo wasiwafikie wananchi; waache kulialia na kutafuta huruma. Ni kazi yao kutafuta njia za kuufikisha ujumbe.
Kwa ile kauli yake ya ku support ushoga akiwa marekani, na leo kuirudia huyu jamaa amefeli on day one
FB_IMG_1591479815656.jpeg
 
Media kwenye kutoa habari, habari huwa inapimwa kutokana na uzito. Uzito unapimwa kwa vigezo, big names makes news, the biggest name in Tanzania ni rais wa JMT, sasa akiongea rais wa JMT na akaongea KUB, automatically big news ni alichoongea rais wa JMT. Habari ya

Pascal Mayalla, ina maana mtu yeyote anayewania nafasi ya juu ya uongozi calibre ya Tundu Lissu mtetezi wa wanyonge, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society , Chief Whip , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA chama kikuu cha upinzani kinachotaka kuingia Ikulu kwa kuchukua dola kupitia siasa za Sanduku la Kura umeona waandishi hawana umuhimu wa kumjadiliwa iwe kwa mtazamo hasi au chanya?

Basi kama ndiyo hivyo wacha JamiiForums iendelee kuheshimiwa kama chombo huru kwa kumjadili bila uoga mtu yeyote anayetaka kuwania nafasi ya juu ya uongozi halafu wananchi baada ya kupata taarifa za kutosha waamue wenyewe kumchagua wamtakae.

Nchi zote za jirani na za masafa leo zimetuma taarifa hii muhimu ktk mifuko ya kidiplomasia/ diplomatic bags ; cables huku zimejitayarisha kumfahamu huyu Tundu Lissu ambaye anaweza kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini waandishi wa mifumo kongwe ya upashanaji habari wanajifariji hii siyo habari muhimu!

Hili la kukaa kimya kuwanyima taarifa na habari waTanzania ni kukosa uzalendo na usaliti kwa nchi. Remember information is power.

Wasifu wa Tundu Antipas Lissu



Source: Global TV online

Huko Kenya wavutiwa :
Mahojiano na Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki Tanzania
800,311 views


source : KTN news Kenya
 
Na hiyo ni ishara au jibu rasmi kutoka kwa watanzania walioko Tanzania kwamba lissu hatakiwi.

Msilazimishe mambo CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO a.k.a chadema hii sio ishara nzuri kwenu,

Anzeni kujiandaa kisaikolojia maoema.
hivi kwanini masikini wengi wanawaza ukabila ?
 
Pascal Mayalla, ina maana mtu yeyote anayewania nafasi ya juu ya uongozi calibre ya Tundu Lissu mtetezi wa wanyonge, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society , Chief Whip , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA chama kikuu cha upinzani kinachotaka kuingia Ikulu kwa kuchukua dola kupitia siasa za Sanduku la Kura umeona waandishi hawana umuhimu wa kumjadiliwa iwe kwa mtazamo hasi au chanya?
ukabila mkuu
 
Mleta maada na wewe kama umedondosha ubingo wako barabarani. Unampa airtime mtu alieko ughaibuni? Huyu ji comedian na kalithibitisha hilo. Hana issue. Wewe uombe kugombea wakati alishasema hawezi kuja maana hatakuwa salama? Hizo kampeni anafanya kwa FB? Huyu ni kichaa kabisa leo nimethibitisha pasi na shaka.
Hivi unajua maana ya habari? Kuwa nje ya nchi siyo kigezo cha kutotangazwa habari zake. Maccm mnafeli wapi? Alichofanya leo ni kutangaza nia tu.
 
Back
Top Bottom