Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

Nilishatoa tahadhari, ole kwa yule atakaye isambaza hotuba ya Lissu.

Naona mnaanza kuvilaumu vyombo vya habari.

Vinajipenda kuendelea kuwepo hewani. Mvumilie tu kuwa chama kuu kimeshika hatamu.
 
the biggest name in Tanzania ni rais wa JMT, sasa akiongea rais wa JMT na akaongea KUB, automatically big news ni alichoongea rais wa JMT. Habari ya Lissu sio habari kubwa kivile!.
Kipande hichi akikiona Erythrocyte anaweza akaharisha kama si kuzimia kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
ila we jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapinzani wakishinda uchaguzi, ccm watamwaga damu mwaka huu
 
Halafu utakuta waandishi wa habari na vyombo vyao wanadai haki ya kuhabarisha kuhusu uchaguzi lakini habari kama hii wanaiogopa kama gonjwa la Covid-19.

Shame on you mass media house owners, journalists, editors, Synovate, TEMCO, TWAWEZA.
 
Na hiyo ni ishara au jibu rasmi kutoka kwa watanzania walioko Tanzania kwamba lissu hatakiwi.

Msilazimishe mambo CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO a.k.a chadema hii sio ishara nzuri kwenu,

Anzeni kujiandaa kisaikolojia maoema.
 
Kwa ile kauli yake ya ku support ushoga akiwa marekani, na leo kuirudia huyu jamaa amefeli on day one
 

Pascal Mayalla, ina maana mtu yeyote anayewania nafasi ya juu ya uongozi calibre ya Tundu Lissu mtetezi wa wanyonge, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society , Chief Whip , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA chama kikuu cha upinzani kinachotaka kuingia Ikulu kwa kuchukua dola kupitia siasa za Sanduku la Kura umeona waandishi hawana umuhimu wa kumjadiliwa iwe kwa mtazamo hasi au chanya?

Basi kama ndiyo hivyo wacha JamiiForums iendelee kuheshimiwa kama chombo huru kwa kumjadili bila uoga mtu yeyote anayetaka kuwania nafasi ya juu ya uongozi halafu wananchi baada ya kupata taarifa za kutosha waamue wenyewe kumchagua wamtakae.

Nchi zote za jirani na za masafa leo zimetuma taarifa hii muhimu ktk mifuko ya kidiplomasia/ diplomatic bags ; cables huku zimejitayarisha kumfahamu huyu Tundu Lissu ambaye anaweza kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini waandishi wa mifumo kongwe ya upashanaji habari wanajifariji hii siyo habari muhimu!

Hili la kukaa kimya kuwanyima taarifa na habari waTanzania ni kukosa uzalendo na usaliti kwa nchi. Remember information is power.

Wasifu wa Tundu Antipas Lissu


Source: Global TV online

Huko Kenya wavutiwa :
Mahojiano na Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki Tanzania
800,311 views

source : KTN news Kenya
 
Na hiyo ni ishara au jibu rasmi kutoka kwa watanzania walioko Tanzania kwamba lissu hatakiwi.

Msilazimishe mambo CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO a.k.a chadema hii sio ishara nzuri kwenu,

Anzeni kujiandaa kisaikolojia maoema.
hivi kwanini masikini wengi wanawaza ukabila ?
 
ukabila mkuu
 
Hivi unajua maana ya habari? Kuwa nje ya nchi siyo kigezo cha kutotangazwa habari zake. Maccm mnafeli wapi? Alichofanya leo ni kutangaza nia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…