Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake.
Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond.
TCRA kama mna manufaa na vyombo vya habari kuanzia redio,tv na magazeti kwa mtindo huu hipo siku kuna watu wataanza kuandika maisha yao yalivyo.