DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu kuelezea matukio ni kusherekea vifo.
Au kuwahoji wafuasi wa FDLR NA RPF NA MAKUNDI MENGINE YA WANAMGAMBO MASHARIKI MWA DRC NI KUSHEREKEA VIFO.
Basi waandishi wa habari hatufai kuwepo kama ni haramu kuhoji watu.
 
SISI WAANDISHI WA HABARI TUPO FAIR PANDE ZOTE.
TUNAHOJI PANDE ZOTE
 
Asante. Sasa nimeshaona upande wako
 
Unaijua maana ya genocide? Kweli we ni mwandishi huru. Usijali
 
Unaijua maana ya genocide? Kweli we ni mwandishi huru. Usijali
Mkuu tatizo la watu, hamtaki kujua ukweli wa pande mbili kuhusu hizi genocide za maziwa makuu since genocide ya kwanza ya mwaka 1920.

At least mimi nawafahamu kisiasa na baadhi nimefanya nao mahojiano watu kama Juvenal na Kagame na Bizimungu na Ndadaye na Rugwama na Buyoya na Kabila na Mobutu na Kenge Wadongo na Museveni na nimewahoji takribani wanajeshi wa ranki za juu za RPF FDLR FARC M23 since 2006 up to 2022.
Kuhusu hiyo migogoro yao isiyoisha
 
Hongera kwa uzalendo
 
Kuna inferiority ya watanzania against Rwanda and Kenya ambayo sielewi ilianzia wapi. Wabongo wakisikia tu Rwanda automatically wanakua wanyonge na kuanza kusifia kila kitu cha huko huku wakiponda vyao. Hivi Rwanda wametuzidi nini hasa? GDP, ardhi, watu, jeshi au nini?

Maneno ya huyo Karega could very well be arbitrary, kajitamkia tu. Wanaropoka marais ndo sembuse huyo.

Kadhalika nani asiyejua jamii ya Waha, warundi na wanyarwanda ni moja na wanashabiana lugha, tamaduni na kila kitu. As a matter of fact, jamii zote za mipakani ni zile zile baina ya nchi husika. Wamaasai, wajaluo wapo Kenya na TZ. Wanyasa wapo TZ na Malawi. Wasambaa wapo TZ na Comoro. Wamakonde wapo TZ na Msumbiji. Jamii ya Wairaq wapo as far as Ethiopia. Wangoni wapo hadi South Africa nk nk. Nini cha ajabu hapo?

"Their language is a Bantu language,[5] and is called the Ha language, also called Kiha, Ikiha or Giha. It is closely related to the Kirundi and Kinyarwanda spoken in neighbouring Burundi and Rwanda, and belongs to the Niger-Congo family of languages" from Wikipedia itabidi muitilie mashaka ya kuleta machafuko Wikipedia pia.
 
Mbona hilo jambo dogo na ni kawaida, kila mtu ana uhuru wakuongea anacho hisi kwamba ni kweli hilo halina uhusiano na vyombo vya ulinzi vya nchi.
Sidhani kama umeelewa logical content ya mtoa mada
 
Hakuna nchi yenye intelejensia kubwa kama Tz kwa East and Central Africa na pengine Africa nzima relax kunywa kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…