Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Kuna wajinga huku mtaani wanaendelea na vikao na mikutano ya kupiga kura asa CCM huku wakijua tupo kwenye kuomboleza aiseee...
Hivi hii sini laana kwa chama? Kwani wangesogeza mbele kuna tatizo gani
ok nafikili wametimiza wajibu wao ila mungu anasema wanachokitafuta si mda watakipata ,si ujumbe wangu ila ukidhaulika sawa tu , maana mungu huwatumia watu hata kama hawabebi biblia japo serikari haina dini ila mungu rais wa mataifa yote
 
Uelewa wako katika mambo ya kidola ni mdogo sana endelea na saccos yako!

Ni kweli uelewa wangu ni mdogo sana wa mambo ya kidola, lakini hata ningekuwa huko kwenye mambo ya dola, nisingeweza kumsubiri mwanasiasa aliyekwenda kwenye matibabu nje ya nchi kama gaidi. Tena kumsubiri kwenyewe iwe ni kwa kutumwa, na wanasiasa hao hao waliojichanganya kwenye siasa huku wakiwa hawaziwezi.
 
Soma Biblia utajua maana ya usaliti huwezi kupata tafasiri ya usaliti kwenye Penal Code au sheria yoyote
 
Hujui chochote kuhusu usaliti, ndio maana umelivaa hilo neno usaliti kichwa kichwa, ukiambiwa usaliti ni nini wala hujui, zaidi ya kurudia upuuzi unatemwa na mazoba wenzako hapa jukwaani.
Mkuu nilichogundua wanaCCM wengi wanakaririshwa maneno tu lakini ukiwaambia wajielezee wanakimbia. Ni kma ule msemo "Upinzani hauna sera" ila ukiwauliza hta kma wamesoma Bajeti kivuli au machapisho ya ''sera mbadala'' hawajawahi!! Wanaendeshwa kama mazombie tu.

Inashangaza sana
 
risasi 16 ziliingia mwilini hakufa.
Mkapa hajarushiwa hata jiwe lakini chali.

so.... hivi vitu vya chekechea unavyovitaja havimbambaishi wala kumtisha Lissu.
Sasa mhe. Mkapa si umri umeenda mzee
 
da mkuu umeandika vizuri japo sijawai panda ndenge ,thanks
 
Soma Biblia utajua maana ya usaliti huwezi kupata tafasiri ya usaliti kwenye Penal Code au sheria yoyote
Hivi tukifuata kanuni za Biblia kuna mwana CCM atapona? Hvi Rais anavyolindwa kwa mazindiko kibiblia si angeshapigwa radi!!

Tuache kuchanganya siasa na dini.
 

Hiki unachojivunia hata walioingia madarakani kwa kupindua nchi huwa wanajivunia. Sifa sio kukaa madarakani, bali unakaa vipi? Hapo ndio hoja ilipo. Huoni unajivunia kukaa madarakani muda wote huo, lakini nakulambisha mchanga tu?
 
Hiki unachojivunia hata walioingia madarakani kwa kupindua nchi huwa wanajivunia. Sifa sio kukaa madarakani, bali unakaa vipi? Hapo ndio hoja ilipo. Huoni unajivunia kukaa madarakani muda wote huo, lakini nakulambisha mchanga tu?
Unanilambisha nini konyagi?
 
Kwa hiyo unafikiri Lissu hana Passport halali ama unamaanisha nn?
 
Hivi nyinyi kwa akili zenu finyu mnadhani nchi hii inaendeshwa kwa siasa za wanaharakati wa mtandao wa jamii forum sio?? Yaani mmekazana kweli kumnadi chizi
 
Aisee! ... Tena umetukumbusha kwamba hata uchukuaji wa samples zake za Covid 19 ukodolewe macho na red brigade VINGINEVYO ...!
πŸ€”πŸ˜…πŸ€”πŸ˜…

 
Vipi kuhusu airlines kutaka PP iwe "Valid" kwa miezi 6 haiathiri chochote kwa msafiri?
Definetly yes its a requirement, in this situation your country Embassy gives u a go home. Jee tunajuaje pengine Lissu alijaza maombi ya pp mpya na amepata na ndio anayotumia
 

Mkuu tena huko ulifika mbali maana wangeweza kusema hawana muda wa kusoma mambo ya wapinzani. Ungewauliza sera ni nini ungecheka ile mbaya. Kuna mwingine nilimuuliza sera ni nini, akaniambia ni kujenga mabarabara, umeme nk. Hapo ndio nilijua naongea na vilaza wa ajabu.
 
Huyu mheshimiwa mwanasheria msomi kumbe alitegemea angerudi TZ pamoja na kuhangaika huko majuu kuichafu nchi kutafuta huruma. Hawa wajasiria siasa wa kubadilisha gia angani, kudanganya watu wandamane kudai haki huku wakijua fika wanatetea matumbo yao maslahi ya watu akiwa ni hadaa tu.

Nimemsikia akiomba ulinzi kwa vyombo vya dola ambavyo usiku na mchana alirandanda huko ughaibuni akivitukana na kuvikashifu kuwa hana imani navyo. Ajabu wanarudi kuviomba ulinzi tena. Wanajinasibu kuviandikia barua. Kweli upumbavu ni sifa iliyo tajwa hata katika misahafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…