Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Kichwa cha habari chahusika.

Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato.

Mbaya zaidi wengine wamekaa na mishahara hii kwa miaka zaidi ya 20, wengine 15 na wengine 10. Waajiri wa hivi vyuo hawajui kitu kinaitwa nyogeza ya mshahara.Hata hii nyogeza ya mama Samia hawataongeza maana nyogeza nyingi zilishapita hasa kipindi cha JK lakini wao haikuwahusu.

Kiukweli wafanyakazi wanaishi kama watoto yatima hakuna wa kuwasemea, Siyo idara ya kazi wala Wizara yenyewe. Wafanyakazi wa umma wao wana wazazi hawa hawana. Lakini tukumbuke wanaofanya kazi kule ni watanzania na wanafunzi wanosoma vile vyuo ni watoto wetu wa kitanzania. Kwanini Serikali kupitia vyombo vyake haifuatilii hivi vyuo?

Naomba serikali itembele hivi vyuo ikaone hali halisi na iwasaidie wahadhiri wale ktk unyanyasaji huu mkubwa. Ifuatilie ipate ukweli wahadhiri wamekaa miaka zaidi ya 20 bila nyongeza yoyote.

Hata THTU haina habari maana haina matawi ktk vyuo vingi. Jamani wahusika timizeni wajibu wenu kuwasaidia watanzania wenzenu.
 
Awano ya MZ alikuwa na mpango mahususi kuua vyuo vikuu binafsi. Kiasi kikubwa alifanikiwa.
 
Vitabu
Vitini
Course outline
Mitihani
Nk....

Jumlishia kwenye mshahara apo....
So hela ya mshahara plus hela ya hayo mazagazaga hapo juu inatosha kbs
 
Mhadhiri, milioni moja? Kuanzia Masters degree, si ndio? Fani zote au social sciences tu?

Wanaridhika kwakuwa hawako hapo full time, miaka 10 kwa huo mshahara si mchezo, unazungumzia kuanzia 2012 sio?

Kama ni full time na wanabanwa vizuri kuwepo chuo muda wote wa mwajiri, basi ajira ni ngumu sana!
 
Chuo kama teku kipo Mbeya wahadhiri walishawahi kufanya mgomo wa kucheleweshewa mishahara, nakumbuka niliambiwa kuna walimu wanalipwa laki 7 nikabaki nashangaa. huenda ndio sababu kishafungiwa mara 3
 
Uongo mtupu!
Nikuambie kitu, jambo lolote mpaka liletwe ktk hili jukwaa lina ukweli asilimia mia moja. Kafuatilie tafuta jamaa unaowafahamu ktk chuo kimojawapo. Au viongozi wa serikali waende vyuoni watakutana na mambo haya.
 
Kichwa cha habari chahusika.

Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato.

Mbaya zaidi wengine wamekaa na mishahara hii kwa miaka zaidi ya 20, wengine 15 na wengine 10. Waajiri wa hivi vyuo hawajui kitu kinaitwa nyogeza ya mshahara.Hata hii nyogeza ya mama Samia hawataongeza maana nyogeza nyingi zilishapita hasa kipindi cha JK lakini wao haikuwahusu.

Kiukweli wafanyakazi wanaishi kama watoto yatima hakuna wa kuwasemea, Siyo idara ya kazi wala Wizara yenyewe. Wafanyakazi wa umma wao wana wazazi hawa hawana. Lakini tukumbuke wanaofanya kazi kule ni watanzania na wanafunzi wanosoma vile vyuo ni watoto wetu wa kitanzania. Kwanini Serikali kupitia vyombo vyake haifuatilii hivi vyuo?

Naomba serikali itembele hivi vyuo ikaone hali halisi na iwasaidie wahadhiri wale ktk unyanyasaji huu mkubwa. Ifuatilie ipate ukweli wahadhiri wamekaa miaka zaidi ya 20 bila nyongeza yoyote.

Hata THTU haina habari maana haina matawi ktk vyuo vingi. Jamani wahusika timizeni wajibu wenu kuwasaidia watanzania wenzenu.
Mkuuu unaongea ukweli,nina jamaa yangu anafundisha St John university main campus Dodoma ana masters anakula 1.2 milioni.
 
Awano ya MZ alikuwa na mpango mahususi kuua vyuo vikuu binafsi. Kiasi kikubwa alifanikiwa.
Magufuli alikomesha uhuni uliokuwa unaendeshwa na vyuo binafsi. Akuvifunga ila vilijifunga vyenyewe kwa kutotimiza vigezo.

Mfano, Vyuo vilikuwa vinaokoteza ma lecturer! Mtu mwenye degree moja, tena grade ya chini anaajiriwa kufundisha wanafunzi wa degree. Mishahara hawalipwi wengine wakawa wanaongeka ovyo ili kufaulisha wanachuo!
 
Vitabu
Vitini
Course outline
Mitihani
Nk....

Jumlishia kwenye mshahara apo....
So hela ya mshahara plus hela ya hayo mazagazaga hapo juu inatosha kbs
michezo yote [emoji848]
 
Kichwa cha habari chahusika.

Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato.

Mbaya zaidi wengine wamekaa na mishahara hii kwa miaka zaidi ya 20, wengine 15 na wengine 10. Waajiri wa hivi vyuo hawajui kitu kinaitwa nyogeza ya mshahara.Hata hii nyogeza ya mama Samia hawataongeza maana nyogeza nyingi zilishapita hasa kipindi cha JK lakini wao haikuwahusu.

Kiukweli wafanyakazi wanaishi kama watoto yatima hakuna wa kuwasemea, Siyo idara ya kazi wala Wizara yenyewe. Wafanyakazi wa umma wao wana wazazi hawa hawana. Lakini tukumbuke wanaofanya kazi kule ni watanzania na wanafunzi wanosoma vile vyuo ni watoto wetu wa kitanzania. Kwanini Serikali kupitia vyombo vyake haifuatilii hivi vyuo?

Naomba serikali itembele hivi vyuo ikaone hali halisi na iwasaidie wahadhiri wale ktk unyanyasaji huu mkubwa. Ifuatilie ipate ukweli wahadhiri wamekaa miaka zaidi ya 20 bila nyongeza yoyote.

Hata THTU haina habari maana haina matawi ktk vyuo vingi. Jamani wahusika timizeni wajibu wenu kuwasaidia watanzania wenzenu.
uza mitihani mkuu mbona simple tu
 
Kuna jamaa yangu mwalimu secondary alikuwa anafundisha partime st.Joseph ya Songea ambacho baadaye kilifungiwa
 
Kichwa cha habari chahusika.

Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato.

Mbaya zaidi wengine wamekaa na mishahara hii kwa miaka zaidi ya 20, wengine 15 na wengine 10. Waajiri wa hivi vyuo hawajui kitu kinaitwa nyogeza ya mshahara.Hata hii nyogeza ya mama Samia hawataongeza maana nyogeza nyingi zilishapita hasa kipindi cha JK lakini wao haikuwahusu.

Kiukweli wafanyakazi wanaishi kama watoto yatima hakuna wa kuwasemea, Siyo idara ya kazi wala Wizara yenyewe. Wafanyakazi wa umma wao wana wazazi hawa hawana. Lakini tukumbuke wanaofanya kazi kule ni watanzania na wanafunzi wanosoma vile vyuo ni watoto wetu wa kitanzania. Kwanini Serikali kupitia vyombo vyake haifuatilii hivi vyuo?

Naomba serikali itembele hivi vyuo ikaone hali halisi na iwasaidie wahadhiri wale ktk unyanyasaji huu mkubwa. Ifuatilie ipate ukweli wahadhiri wamekaa miaka zaidi ya 20 bila nyongeza yoyote.

Hata THTU haina habari maana haina matawi ktk vyuo vingi. Jamani wahusika timizeni wajibu wenu kuwasaidia watanzania wenzenu.
Tanzania nadhani tumerogwa, yaani msomi wa level ya kuitwa lecturer na ambaye tunakutegemea uzalishe wataalam wengine unakuja huku jamiiforums kulia kulia kuhusu mshahara? Kwamba hata haki zako huzijui? kwamba hutambui kuwa ajira siyo jela usubiri msamaha wa Rais?
 
Back
Top Bottom