Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Elewa vizuri hata kama hawafaulishi bado wangefaulu tuUnaogopa nini kutaja UDOM, SUA, na MUHAS?
hadi unazunguka sana hivyo? Shida ni hiyo 1 kuwa nyingi, si mnaona sifa kufaulisha hovyo, matokeo yake ndio hayo.
Sasa hujanipa solution ya tatizo ni nini?Nadhani sababu ni competition tu Mkuu
Kila chuo kina capacity yake ya idadi ya wanafunzi wanaoweza kupokea na kuwahandle kwa kila kozi so ni kawaida hata kwa huyo mwenye 1.5 kukosa hapo ikiwa walioomba wengi wana vijiti vya point 3 na 4
Kuna Madogo wamegusa division 2 nawafahamu na wamepata nafasi pale Mlimani vizuri tu mwaka huu
Waende VETA, kwani hawakusikia Waziri mkuu mstaafu alisema wazi wazi.Elewa vizuri hata kama hawafaulishi bado wangefaulu tu
Elimu ya sasa tofauti na zamani ambapo kitabu kimoja shule wanafunzi 10
Sikuhizi shule zina teaching and learning materials za kutosha na technology kubwa zaidi material online mengi sasa kwanini wasipate one?
Zaidi ni kuwa population imeongezeka sio kama kama miaka ile so huwezi kuzuia hilo
Shida je hawa wenye hizi one wanaenda wapi? Na vyuo vinachuja sana?
Kwanini wewe hukwenda VETA? 🤣Waende VETA, kwani hawakusikia Waziri mkuu msaatafu alisema wazi wazi.
Mie sikukataliwa wala kuchujwa kwenye kujiunga na chuo kikuu, ndio maana sikwenda VETA.Kwanini wewe hukwenda VETA? 🤣
waziri alichomaanisha ni kuwa vijana waache kukimbilia vyuoni tuMie sikukataliwa wala kuchujwa kwenye kujiunga na chuo kikuu, ndio maana sikwenda VETA.
😂😂😂
Suluhisho hapo ni serikali iboreshe vyuo vyetu vya umma kwa kupanua miundombinu ya vyuoni na kuongeza idadi ya Lecturers and other staffs ili kuweza kuaccommodate nyomi la wanafunzi wanaomaliza form six kwa sasaSasa hujanipa solution ya tatizo ni nini?
Ufaulu mkubwa? Au nini?
Nimeeleza wazi kuhusu competition haipaswi kuwa kigezo tena miaka hii maana kama 1.3 zimejaa sana na bado wanakosa tu madogo unadhani kuwe na procedure zipi ili kuhakikisha vijana wengi waliomaliza hawakai nyumbani?
Suluhisho ni serikali kuongeza idadi ya vyuo kukidhi mahitaji. Tanzania tunazaliana mnoo na vyuo vilivyopo havikidhi idadi yetu. Kila mwaka la saba wanaomaliza wako 1M+. Kati ya hawa 1M+, wale watakaofanikiwa kumaliza form six, je kuna vyuo vya kutosheleza idadi yao??Sasa hujanipa solution ya tatizo ni nini?
Ufaulu mkubwa? Au nini?
Nimeeleza wazi kuhusu competition haipaswi kuwa kigezo tena miaka hii maana kama 1.3 zimejaa sana na bado wanakosa tu madogo unadhani kuwe na procedure zipi ili kuhakikisha vijana wengi waliomaliza hawakai nyumbani?
Twende taratibu mkuuMkuu,chuo kinachukua wanafunzi kulingana na uwezo ( capacity). Mfano kozi fulani chuo kina uwezo wa kuchukua wanafunzi 10, wanaomba waombaji 1000 , chuo lazima kichukue wale wenye one za 3 pekee kati ya hao maana ndo itakuwa haki imetendeka. Au unataka chuo kichukue wanafunzi idadi kubwa kuliko uwezo wa chuo??
Kuna kozi ndio zina ushindani mfano udaktari. Kama huna one ya 3-5, sahau kupata chuo cha umma.Si kweli, kuna binti wa rafiki yangu, amepata div 3, HGE na vyuo vyote 5 alivyoomba alipata; Ardhi, IFM, SAUT,MUCO, Mwenge.
Sawa lakini ukweli ni kuwa population nayo imeongezeka na unajua wazi watu ndio labour power popote paleSuluhisho ni serikali kuongeza idadi ya vyuo kukidhi mahitaji. Tanzania tunazaliana mnoo na vyuo vilivyopo havikidhi idadi yetu. Kila mwaka la saba wanaomaliza wako 1M+. Kati ya hawa 1M+, wale watakaofanikiwa kumaliza form six, je kuna vyuo vya kutosheleza idadi yao??
Hapo siwezi kuongelea mkuu, mimi chuo nilichosoma watu hawakukubaliwa kuhamia au kubadili kozi hata iweje kama maksi zako ziko chini ya maksi ambazo wanafunzi wengine waliochaguliwa hiyo kozi walifikisha. Mfano kama umepata one ya 8 ila unataka kuhamia kozi ambayo walichaguliwa watu wenye one ya 3-6, chuo kiligoma kata kata,watu walitumia kila mbinu ila ilishindikana. Huo utaratibu wa UDOM siwezi kuongelea.Twende taratibu mkuu
Kuhusu competition nimeongelea hapo wazi kabisa.
Zaidi ni kuwa sio chuo kimoja tu almost vyote huwa wanafanya hivyo now fuatilia.
Hapo UDOM wanafunzi wamekuwa wakitumia ujanja huu
Mfano aliomba law akachaguliwa course nyingine anaconfirm akifika chuo wakati wa registration kuna dirisha la kuomba kuhama kozi
Analipa 50k anahama anaenda tena huko law ambako wanasema pamejaa na anakubaliwa .
Unadhani hiyo imekaaje
Angalia kozi za afya hapo nilipotolea mfano mkuuSi kweli, kuna binti wa rafiki yangu, amepata div 3, HGE na vyuo vyote 5 alivyoomba alipata; Ardhi, IFM, SAUT,MUCO, Mwenge.
Mkuu, hapo US kaangalie idadi ya vyuo vyao na uwezo wake. Mfano chuo kikuu cha jimbo la Arizona kina uwezo wa kuchukua wanafunzi wa vyuo vingapi hapa Tanzania?.Sawa lakini ukweli ni kuwa population nayo imeongezeka na unajua wazi watu ndio labour power popote pale
Population yetu sidhani kama inafikia ya USA lakini wote wanasoma tu wanapotaka kulingana na qualification zao
Hapa ina maana kuwa ni moja
Vyuo vingi miundombinu imezidiwa kuliko uhalisia wake halisi! Sindio?
Na vingine havitaki kukubali hilo na kujiupdate badala yake wanajificha kwenye kichaka cha minimum entry
Hata UDOM pia ni hivyo huwezi kubadili kama huna proper entry qualificationHapo siwezi kuongelea mkuu, mimi chuo nilichosoma watu hawakukubaliwa kuhamia au kubadili kozi hata iweje kama maksi zako ziko chini ya maksi ambazo wanafunzi wengine waliochaguliwa hiyo kozi walifikisha. Mfano kama umepata one ya 8 ila unataka kuhamia kozi ambayo walichaguliwa watu wenye one ya 3-6, chuo kiligoma kata kata,watu walitumia kila mbinu ila ilishindikana. Huo utaratibu wa UDOM siwezi kuongelea.