Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

Sasa haya mambo yote mimi ningeyajulia wapi.
Asante kwa kunielewesha!
 
Yani humu unatakiwa ukae kimasta sana 😹😹
Kuna mmoja alisema unaweza kuta watumiaji wa JF tupo kumi ila user mmoja ana id mia 🤣
Hata mimi naamini hivyo mkuu,mimi kuna I'd yangu ya mda niliisahau now nimeikumbuka ila nashindwa kuitumia kabisa , sijui wengine wanaweza vipi kujifanyisha , mimi nikilewa tu naweza ropoka🤣🤣🤣
 
Hata mimi naamini hivyo mkuu,mimi kuna I'd yangu ya mda niliisahau now nimeikumbuka ila nashindwa kuitumia kabisa , sijui wengine wanaweza vipi kujifanyisha , mimi nikilewa tu naweza ropoka🤣🤣🤣
Hizi id mpya nyingi za member wazoefu wanataka kucheza na akili zetu…!! 😹

Jitahidi usisahau tena password unipe nilitumie siku nikipewa ban..!!🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…