Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Vile viroba walivyokwenda navyo benki wezi wa escrow walivibeba wenyewe?
Kilimo ni uti wa mgongo
Naona upo palepale ,kama utasoma page tatu ziliopita utaona ni jinsi gani stori iliyonipa ushindi utaiona ,yaani ni wazi kabisa nilifanikiwa kuifunga hii topiki na kusubiri nitangazwe mshindi ila jamaa utafikiri ni tume za uchaguzi za CCM ,hadi leo hawajanitangaza kama mimi ndio mshindi ,wanataka kuchakachua ,yaani hata humu JF wanachakachua,hivi mtapoteza kitu gani mkinitangaza rasmi.kafa kwa ungonjwa gani???
Naona upo palepale ,kama utasoma page tatu ziliopita utaona ni jinsi gani stori iliyonipa ushindi utaiona ,yaani ni wazi kabisa nilifanikiwa kuifunga hii topiki na kusubiri nitangazwe mshindi ila jamaa utafikiri ni tume za uchaguzi za CCM ,hadi leo hawajanitangaza kama mimi ndio mshindi ,wanataka kuchakachua ,yaani hata humu JF wanachakachua,hivi mtapoteza kitu gani mkinitangaza rasmi.
Rasmi na rasimu kiasi hunichanganya, let's enjoy playing with words hatuna haja na ushindi
Rasmi na rasimu kiasi hunichanganya, let's enjoy playing with words hatuna haja na ushindi
Hio umesema wewe ,...wa mwisho ndio mshindi ,...sasa utasemaje hauna haja ya mshindi ,jamaa kafa.