Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Fursa zipo tele kwenye nchi hii, ila tu sasa wengi ni wazembe, wavivu, wanafiki, wapenda-dezo na dili na fedha za mkato ndiyo sababu wizi na ubadhirifu vilikuwa vimekithiri na kwa kiasi kikubwa taaluma, weledi & kazi halali vilielekea kukosa thamaniWananchi wa TZ kweli wamependelewa hakika Mungu katutandikia fursa..
Thamani ya mtu huishusha mwenyeweFursa zipo tele kwenye nchi hii, ila tu sasa wengi ni wazembe, wavivu, wanafiki, wapenda-dezo na dili na fedha za mkato ndiyo sababu wizi na ubadhirifu vilikuwa vimekithiri na kwa kiasi kikubwa taaluma, weledi & kazi halali vilielekea kukosa thamani
Mwenyewe alifungua kasha lenye hazina...Thamani ya mtu huishusha mwenyewe
Hazina bora ni matumizi sahihi ya fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya jamiiMwenyewe alifungua kasha lenye hazina...
Jamii yetu tungelipata wenye ari na uzalendo kama wako JTHazina bora ni matumizi sahihi ya fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya jamii
Jasmoni Tegga nikuombe ujitolee kuelimishana yanayohusu maendeleo..Jamii yetu tungelipata wenye ari na uzalendo kama wako JT
Maendeleo ......... halafu ...........!Jasmoni Tegga nikuombe ujitolee kuelimishana yanayohusu maendeleo..
Halafu kupandisha kipato cha GDPMaendeleo ......... halafu ...........!
GDP hii ninayoijua mm au nyingine??Halafu kupandisha kipato cha GDP
Nyingine itaibuka baada ya awali kutowekaGDP hii ninayoijua mm au nyingine??
Viwanda viliuzwa vyote.Maslahi mapana ya taifa ndio msingi mkubwa wa kuwatambua viongozi wenye tija ya maendeleo ya taifa linalohamasisha harakati chanya za uchumi wa viwanda
Vyote vitarudi bila mitambo...Viwanda viliuzwa vyote.
Mitambo ya kuzalisha umemeVyote vitarudi bila mitambo...
Umeme bado limekuwa tatizo sugu mpaka awamu hii piaMitambo ya kuzalisha umeme
Pia na wewe uendeUmeme bado limekuwa tatizo sugu mpaka awamu hii pia
Niende wap mkuu wakati mm ni wa hapa hapaPia na wewe uende
hapa tunapata moja baridi moja motoNiende wap mkuu wakati mm ni wa hapa hapa
Moto wa onlyalvira utauweza ?!?hapa tunapata moja baridi moja moto
Hapa jf ni nyumbani kwetu.Niende wap mkuu wakati mm ni wa hapa hapa
Kwetu tuna shida ya Ulinzi shirikishi..Hapa jf ni nyumbani kwetu.