onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Mwadilifu nani tenaNizikwamishe vipi juhudi makini za ujenzi wa Taifa letu ambalo ndilo Kisiwa cha Amani na Utulivu duniani!??? Pongezi nyingi sana kwa mikakati makini ya serikali ya Awamu ya 5 chini ya kipenzi chetu mchapakazi, mzalendo, mweledi, mcha-Mungu, asiyechoka na mwenye huruma na mwadilifu
Mwadilifu nani tena
Tena nani zaidi ? Miradi mingi imekamilikaMwadilifu nani tena
Imekamilika bila kukopa wala kuomba fedha kwa mabeberuTena nani zaidi ? Miradi mingi imekamilika
Imekamilika bila kukopa wala kuomba fedha kwa mabeberu
Mabeberu wamekusanyika ktk zizi la MagharibiImekamilika bila kukopa wala kuomba fedha kwa mabeberu
Magharibi juzi kabudi kapeleka bakuli 🇫🇷 france.Mabeberu wamekusanyika ktk zizi la Magharibi
France/ Vous parlez Français?Magharibi juzi kabudi kapeleka bakuli [emoji632] france.
francais est un paysFrance/ Vous parlez Français?
pays attention u guys,to the president strategies,in building the country economies.francais est un pays
economies ni kitu gani tena jamani?pays attention u guys,to the president strategies,in building the country economies.
Jamani hiyo lugha ya mabeberu siitakieconomies ni kitu gani tena jamani?
Siitaki hata kuisikia labda nikiwa nimeshiba naweza kuongeaJamani hiyo lugha ya mabeberu siitaki
Kuongea ni rahisi sana usiogope maana hata hivyo ndiyo lugha ya dunia hiyoSiitaki hata kuisikia labda nikiwa nimeshiba naweza kuongea
Hyo utaongea wewe,mm mpaka nishibeKuongea ni rahisi sana usiogope maana hata hivyo ndiyo lugha ya dunia hiyo
Nishibe mpaka nile vyote chakula na mpishi wakeHyo utaongea wewe,mm mpaka nishibe
Nishibe mpaka nile vyote chakula na mpishi wake
Hapendezi vp na umeshasema ni mrembo kulikoWake ni mrembo kiliko wangu lakini hapendezi
Hapendezi kwa sababu hapendezeshwiWake ni mrembo kiliko wangu lakini hapendezi
Hapendezeshwi na wewe,acha ubahili mfanye apendezeHapendezi kwa sababu handezeshwi
Apendeze ili mabaharia wamkwapue?Hapendezeshwi na wewe,acha ubahili mfanye apendeze
Wamkwapue bahasha la kitita niliyomkabidhi...Apendeze ili mabaharia wamkwapue?