onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Mwadilifu nani tenaNizikwamishe vipi juhudi makini za ujenzi wa Taifa letu ambalo ndilo Kisiwa cha Amani na Utulivu duniani!??? Pongezi nyingi sana kwa mikakati makini ya serikali ya Awamu ya 5 chini ya kipenzi chetu mchapakazi, mzalendo, mweledi, mcha-Mungu, asiyechoka na mwenye huruma na mwadilifu