Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Warembo bado hawajazaliwawap naweza kuwapata nyie wote warembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warembo bado hawajazaliwawap naweza kuwapata nyie wote warembo
Warembo bado hawajazaliwa
Kote nilipotafuta wastaarabu sikufanikiwa na mali zangu zikaliwa!!Hawajazaliwa duniani kote
Zikaliwa kwa sababu watu wana tamaaKote nilipotafuta wastaarabu sikufanikiwa na mali zangu zikaliwa!!
Tamaa ilianzia kwangu sikusikia la Mkuu nikaishia kuvunjika guu !!!!Zikaliwa kwa sababu watu wana tamaa
Guu la bia limekuponzaTamaa ilianzia kwangu sikusikia la Mkuu nikaishia kuvunjika guu !!!!
Guu la biaTamaa ilianzia kwangu sikusikia la Mkuu nikaishia kuvunjika guu !!!!
Ubia ktk ujenzi usirogwe kuingia na taasisi!!!Guu la bia
Taasisi za kimataifa zinaingilia katiUbia ktk ujenzi usirogwe kuingia na taasisi!!!
Kati yao na mwekezaji nani atalizwa ?Taasisi za kimataifa zinaingilia kati
Atalizwa asie makiniKati yao na mwekezaji nani atalizwa ?
Awe makini ktk husain mkataba...Atalizwa asie makini
Mkataba inabidi ufate sheria na hakiAwe makini ktk husain mkataba...
Haki sana kwa wote.Mkataba inabidi ufate sheria na haki
Jamiiforums idumu, miaka 15 siyo mchezo.Haki sana kwa wote.
Nje ya mada leo nimitiza miaka 15 ndani ya jamiiforums.👍
Nalog off
Idumu milele. Ahsante sana MkuuJamiiforums idumu, miaka 15 siyo mchezo.
Hongera Kiongozi
Mkuu inatakiwa upatiwe japo zawadiIdumu milele. Ahsante sana Mkuu
Nalog off
Mkuu inatakiwa upatiwe japo zawadi
Sana Damaso karibu mjengoniZawadi ya kipekee sana
Mjengoni kumenoga,Mimi ndiye itanibidi niwape JF zawadi Kwa kuwa nimejifunza mengi sana humu jamiiforumsSana Damaso karibu mjengoni