Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

nukta ni uwezo wakufikiri wa hao jamaa-hapo juu-walio haribu mtiririko wa huu mchezo kwa kuanza na neno ''mawazo''
 
nukta ni uwezo wakufikiri wa hao jamaa-hapo juu-walio haribu mtiririko wa huu mchezo kwa kuanza na neno ''mawazo''

Mawazo kaumbiwa binadamu ,na ndio mana hata kiwete anataka ajenge fly over jijini dar es salaam
 
2015 ni mwaka wa mapinduzi kisiasa, vijana tujiandae kwa kushiriki kupiga kura.
 
zinazotakiwa kuiondoa serikali dhaifu ,chama dhaifu na viongozi dhaifu
 
Dhaifu mpaka wanachama wake,
Uvccm yake,
UWT yake dhaifu pia.
 
Pia hata Ma-alawi nao wana raisi dhaifu eeeh...
 
Wakutupwa atakuwa mzee bwagamoyo we ngoja time will tell
 
Back
Top Bottom