Mmmmmmmh..Lara1.Aya bhana.Hahahaaaaa! Mdahalo gani? Nilikua namtupia tu vijibu vya size yake. Sikutaka kumu overdose!!!!!!!!!!!! Utu uzima dawa.
Unajua proud si kukaa na madon na kupiga nao stori ..... ila proud ni what their cream you can fetch out of their thoughts!
HALOOOOOOOOOOOOOO! I NEVER GOT WHOOPING 30 LIKES! PAH! JUST LIKE THAT IN MMU!!!!!!!!!! But i got them her! How many do you have? I too didnt think soo.
Embu cheki chini hapo 1000 na ushee people viewing the thread. Hesabu na like za comments zangu za katikati. Afu cheki reponse overrall! Over 220 comments. Weka link hapa thread uliyoanzsha jukwaa lolote ikafika hata tucomment 100 tu!
Bila kusahau Reputation power chek kako na langu! Hahahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
FACTS SHOW THAT MAJORITY ARE DIGGIN THIS SHIT!!!!!!!!! NUMBERS DONT LIE!
IWE MMU, ECONOMIC FORUM KOKOTE KULE MI NATISHAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! ALWAYS EXCELLING IN WHATEVER I DO!!!!!!!!!!!! CHEZEYA!!!!!!!!!!!!!!!!!! NACHEZA NAMBA ZOTE 11 UWANJANI! KIPA MIE, DEFENCE MIE, MID FILDER MIE, FOWARD MIE!!!!!! UTANIWEZEA WAPI?
Hahahaaaaa! Mdahalo gani? Nilikua namtupia tu vijibu vya size yake. Sikutaka kumu overdose!!!!!!!!!!!! Utu uzima dawa.
Sema wewe baba.....alaf mara nyingi wenye hela na mafanikio ya kutisha hawana maneno mengi.
wewe tisha tu mama! .... uwe na likes 1,000,000!! uwe na 20,000,000 viewing the thread!! 30,000,000 commented the thread!!!! reputation power 1,000,000,000! zote hizo is out of my concern maana hazina tija kwangu! may be its your concern ila ninachokushauri, punguza ushambenga kwenye mambo educative if u dont have power to CORRELATE ISSUES kaa kimya, sio kupanic; economic theories, business theories are real, siyo mapenzi km mada zako nyingi zilivyo!!!!
great thinker lara 1 hajui hilo ....... hata hivyo naona mdau anapenda sana cheap popularity hata katika issues hot and hot and hot ...... nimemwomba akamalizie kwanza shule yake, naona kahudhuria seminra ya siku moja basi akaona she can talk anything about business and economic......thubutu yake, bado utasubiri sana lara 1 !!!!!!
Upo mweupe sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lara 1 kwenye mambo ya kiuchumi na biashara; MMU tumekumis njoo kule tukupe like, reputation power, comment, nk nk
MUHIMU:
think about business not about petty trading unayozungumzia wewe!!!! umenipata?????
Analysis fupi:
unasema tabata nyumba sh 200,000 kwa kupanga na ilijengwa miaka 90's ..... ulivyo mweupe umesahau bei ya ardhi ya mahali pale kuwa imeongezeka si km miaka 90's! umesahau bei ya hiyo nyumba kuwa imeongezeka sio km miaka 90's ..... halafu unaiita"corporate marketer" tena expensive??????? ptuuuuuuuuuuuuuuuuuu tea mate chini mara mbili kidogo!!!!!
WADAU UKWELI NI HUU:
1.jenga kwa kadri uwezavyo jitahidi kujenga sehemu zenye business attraction,
2.nunua ardhi kila upatao shilingi yako, fanya hivyo kwenye sehemu zenye business attraction......... mwisho wa siku upate kitu kinaitwa ''PASSIVE INCOME" yaani unapata returns zako kiulaniiiiiiiiiii huku unatazama malumbano ya bunge kwenye tv na muda wote ukionekana upo online kwenye jf na huku michirizi ya pesa zako hazikatiki, lara 1 wapotoshe wasioelewa ila sio wanaoelewa!!!!
COPY lara 1

I think hii thread imeonyesha kwanini wasomi au watu wanaofuata vitabu hawafanyi biashara na watu walioshia darasa la saba wanamaghorofa mjini na wanafanikiwa kibiashara .........watu wamemwaga theories humu kibao ....lakini research ndogo tu ya wafanyabiashara waliofanikiwa duniani wengi hawajasoma ...

Hii shule ninaitoa kwa vijana wengi ila wanakuwa wagumu kuelewa.. Pamoja na mimi kuonyesha kwa vitendo bado hawaelewi
Hahahaaaaaaaaaa! THECHANCE et al! Najua huwezi pata umaarufu bila kuchukua CHEAP PUBLICITY kwenye hii thread. Mwenzio nina mathread kibaooooooo, yamebamba na yataendelea kubamba! Sina ukame. NIMEKUPA FACTS ZA LIKES, COMMENTS, VIEW NA KADHALIKA! UMEISOMA KIMYA KIMYA!!!!!!
HUNA HADHI YA KUNIAMBIA CHOCHOTE WEWE AND THERE IS NOTHIN YOU CAN DO ABOUT IT! HUMU NAANDIKA NACHOTAKA NA NACHOJISIKIA! HUKIPENDI USISOME THREAD! UKISOMA UTAJIJU! I ASSURE YOU FOREVER ILL DO WHAT PLEASES ME AND NEVER UNACHOSHAURI AMA KUSEMA! MIMI NDO MIMI! ROGER THAT!!!!!!!
Mimi siangalii unasema nini but NANI ANASEMA! So bad hauko rank ya mimi kukusikiliza, so acha kutoa maelekezo! Unajisumbua.
WHO I AM DEPENDS ON WHO YOU ARE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
1 WORD PATHETIC!!!!!!!!!!!!!
You are beyond salvation. Nikifikiria ni mtoto wa kiume unaandika haya inabidi vita nivizidishe. You are an excuse of men kind!
Hulalalaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwanaume kaandika hapa? inasikitisha!
ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu acha ushamba wewe!!!!