Mkwe kunywa taratibu naleta maandazi soon.
Nakusogezea kabisa, ushindwe mwenyeweπ€£Naomba na chapati mbili.....
Hata kama zimebakia dakika chache sana kabla ya ndoa kufungwa, ukigundua mwenzake hakufai basi piga chini hapo hapo. Hakuna kumuhurumia mtu, kila mtu apambane na hali yake.
Jamaa kasema oeni kwenu hamsikii
Ongezea na maharagwe na soda uipendayo ntakulipiaπ€£π€£π€£Naomba na chapati mbili.....
Daktari alijiongeza akapima na ambavyo hajatumwaYaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
Bora ata iyo...lakini mzigo wa mtu mkuu siyo mchezo.Wenza karibu wote hawafaani..kama mimi siku nafunga ndoa nilikua nimenuniana na mke wangu..yani tena full kukorofishana..na hii inatokea kwa wengi tu..
Nilikua nna gari yangu nakodisha maharusi,weekend nlikua naendesha mwenyewe niliona couples nyingi sana zinazinguana sana siku ya harusi..na wanaonesha tu..
Daktari alijiongeza akapima na ambavyo hajatumwa
Ili tusibambikwe mimba?πJamaa kasema oeni kwenu hamsikii
Ndiyo coz kosa siyo la jamaaIvi itaweza kurudi kweli?