Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Nipe sababu ya msingi ya mimi kuchukua hatua

Nina hati miliki ya jina?
Utapoteza Identity yako,watu watajua ni ww kumbe siyo.

Halafu ujue humu pamoja na kutoonana lakini tumekuwa marafiki na ndugu.Inachanganya ID zikifanana sn kama hivyo .Pia aweza kuwa na comments za ajabu ajabu tukadhani ni wewe kumbe laah!hasa kwa mtu ambaye hajagundua kuna utofauti kidogo wa ID zenu.

Kama umeona ni sawa it is ok.
 
Uko sawa na inaweza kuwa sio okay kwangu yeye kuna na ID inayofanana sana na yangu

Lakini sina cha kufanya....labda mimi ndio nibadili manake sina haki ya kumwambia yeye abadili
 

Tupe hii story ya Joseph mkuu kumbe bint hakua bikira [emoji28]
 
ni dk mpumbavu pia atakayempima mimba mwanamke ambaye ni mchumba wa mtu na mwanaume wake yupo hapo[emoji28]na hawajaomba hiyo huduma
hii kitaalamu tunaita pregnanti positivu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wanawake wanajikuta wanajua kutunza siri...mbunye ale mwingine, gharama ale mwingine na wote unawataka...puuzi sana huyo dem tamaa tu
 
Yani mpk ndugu wa Mume wanasononeka.... Asa mi nikajiuliza hivi huyu kweli hakuwa na reserve jamn?...... maandaliz yote ayo angetafuta mke mwengine akamuoa fasta [emoji38][emoji38]
Bora amuoe huyohuyo mwenye mimba kuliko huyo wa fasta fasta.

Watu wataarifiwa tu kua disco limeingia mmasai kama wataweza kulipwa watalipwa kama haiwezekani baasii.
Ila ni bora kuingia madeni kuliko kuoa mtu kama huyo .
 
Jf na yenyew inaenda kuwa a ki fb fb...mtu analeta chai humu...hata mpangilio wa matukio unaona kabxa hapa unapigwa...majibu ya HIV yanaingilinanaje na pregnant test?
 
Jf na yenyew inaenda kuwa a ki fb fb...mtu analeta chai humu...hata mpangilio wa matukio unaona kabxa hapa unapigwa...majibu ya HIV yanaingilinanaje na pregnant test?
Aki sijui uko Dunia gani jombaa. Pole sn
 
Sema wanawake wako free sana hahahahaaa!

Solution ya kiumbe kilichofree kama Mwanamke ni wewe mwanaume kujipenda wewe kwanza kujitafutia wewe kwanza na kujitunza wewe kwanza...

Mwanamke anatakiwa astahili/ ajitahidi ili uwe nae!

Sasa vijana wa kiume wanamwaga Moyo kama maharage: I love you Ya Nyoko: mahisia tu upumbavu mtupu...

Individualism is the way with women
No sacrifice
Women ni watu wa self benefits, self advantages, self interests, self gains na mambo/ maneno yote yanayohusiana na ubinafsi.

Wanaume wazee wa kujitoa hahahaaa
Eti unajitoa kwa mwanamke hahahaaa
Jitoe kwa nafsi yako utapona.

Jiponyeni Nafsi zenu

Zipendeni nafsi zenu enyi Waume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…