Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya
Hilo jambo halijamkuta ila yeye ndio kalifuata na kulikuta. Aliwaza, akaamua, akaingia chumbani, akavua na kufurahia sasa iweje matokeo ayasingizie yamemkuta.
 
Safi.
 
Positive masculinity.

Safi mkuu.
 

Wasipokuelewa hapa Hawa mbwa watateseka hadi kiama.
 
Yaani sijaelewa...

Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
Mkuu kuna rapid tests huwa ni Comb...

But HIV na Pregnancy hiko kipimo hakipo coz samples zake hazifanani...

Mleta uzi katupiga kamba mchana kweupe na stori zake za kijiweni..
 
aisee tutoe lile li askari monument posta tuweke lako mkuu...Mwanamke sio mtu wa kumwonea huruma hata kidogo...
 
Very true brother [emoji115][emoji109]
 
huo ndo upumbavu hujamgonga demu wako miezi sita halafu ufikirie hajakitoa kwa wahuni,,,,haya maisha ya kujifanya watakatifu kwenye mapenzi lazima ulie
 
Bwana harusi jiijie kwangu huwezi kutana na hayo majanga
 
MREJESHO
Tunashukuru bwana harusi hamempata Binti mwingine, na walifanikiwa kufunga ndoa salama salimini. Ila tu ndoa yao haikuwa na sherehe kubwa, Kwa sababu ya kuhairishwa Ile ndoa ya mara ya 1.... Yule bidada msaliti ameachwa kweupe peee. Nadhani ameshaonyesha aliyempa mimba.

Kwa Sasa bibi na bwana wameshaondoka kwenda anapofanyia Kazi mwanaume. Maana this time ameamua kuchagua yule ambaye hayuko na Kazi, nafikiri ataenda kumtafutia Cha kufanya uko uko anakofanyia Kazi.

USALITI MBAYA [emoji849][emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…