Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Watu wa kitabu siku hizi mnaweza kuwashauri watu wapate ilimu, nilidhani una mawazo sawa na wale Taliban ambao wanachosisitiza ni kufuga ndevu.
 
Sasa wee mbna unaumia muarabu koko? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
munoteseka ni nyinyi ambao kila siku hamwishi na povu kwa waarabu, watu ambao hawana kabisa time na nyinyi wao wapo bzy na mambo yao tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mmevurugwa, sasa hili bango la nn mmelileta hapa? Khaaaaah
 
Waafrica siyo wabaguzi ila hao jamaa ndiyo source ya ubaguzi, hawataki kuchanganya damu na watu weusi ikitokea umempa mimba au kuanzisha mahusiano na Binti yao basi huyo Binti ataambiwa achague mawili kufukuzwa home au aachane na mtu mweusi, hii dhana hupelekea Hadi baadhi ya wenzetu weusi kwenda kwa waganda ili wapendwe na waarabu
Yaani Hawa jamaa wanatuita sisi mapunda kweli!! Ila nashangaa nasisi watu weusi tunaofuata utamaduni wao eti ni wabaguzi yaani tunawabagua watu weusi wenzetu.
 
Kinachowaponza ni figisu zao kwa mataifa mengine wakiongozwa na Misri.
Kwanza waarabu wa misri ukiwaita waarabu wanachukia wanajiona wao ni waarabu special hivyo nami nasema wanakula matunda ya matendo yao.
Hawana upendo,just imagine waafrika wanaocheza kwenye vilabu vyao ni wangapi na wanapata tabu zipi?.
Kila mtu atavuna alichopanda.
 
Waafrica siyo wabaguzi ila hao jamaa ndiyo source ya ubaguzi, hawataki kuchanganya damu na watu weusi

Hivi mkuu umechanganyikiwa? Sasa ikiwa wao hawataki kuchnganya hiyo damu nyinyi mnaumia nini? Si tafuteni wengine muchanganye nao Mbona munayacomplicate sana maisha?
 
Anayewatetea waarabu akajaribu Kwanza kufanya kazi za ndani saudia,Dubai au Iran Kisha aje na mrejesho hapa.
 
Hivi mkuu umechanganyikiwa? Sasa ikiwa wao hawataki kuchnganya hiyo damu nyinyi mnaumia nini? Si tafuteni wengine muchanganye nao Mbona munayacomplicate sana maisha?
Unaelewa maana ya kuchanganya damu? Wao ktk mindset wanaamini kuchanganya damu na mtu mweusi ni kukaribisha laana kwenye ukoo ndiyo maana wanaoana mtoto wa mjomba na shangazi
This Arab is stupidity, me niliwahi kuanzisha mahusiano na House gelo aliyekuwa anafanya kazi kwake eti akaniambia sitaki kuletewa kinyago ndani kwangu na yule Binti alikuwa mwafrika mwenzangu.
 
Mkuu kuwepo kwenye bara la Africa haiwaondolei asili ya ya uarabu, hata muhindi azaliwe Tanzania ni muhindi hawezi kuwa mzaramo
 
Anayewatetea waarabu akajaribu Kwanza kufanya kazi za ndani saudia,Dubai au Iran Kisha aje na mrejesho hapa.

Hujui unachokiongea ewe mgalatia.

Halafu iran sio waarabu, kasome tena
 
Watu wa kitabu siku hizi mnaweza kuwashauri watu wapate ilimu, nilidhani una mawazo sawa na wale Taliban ambao wanachosisitiza ni kufuga ndevu.

Ndevu ni sunna, hata Mtume wetu Muhammad S.A.W alifuga ndevu.

Ndevu ni uanaume bwana, wewe kama hukujaaliwa kuwa na ndevu kaa pending.
 
Kawaambie hao wenzako waombe msamaha kutokana na jinai zilizoendeshwa na babu zao katika ya kufanya biashara ya utumwa.

Wagalatia bwana, ushakula mashonde nini mzee!!

Wakati wanafanya hiyo biashara ya utumwa, je! Ulikuwepo na ukayashuhudia?

Maprofesa wa kukaririshwa uongo mko vizuri😁
 
Mkuu kwani waafrica si Laan kweli? Hebu tujitathmini kwanza
 
Wagalatia bwana, ushakula mashonde nini mzee!!

Wakati wanafanya hiyo biashara ya utumwa, je! Ulikuwepo na ukayashuhudia?

Maprofesa wa kukaririshwa uongo mko vizuri[emoji16]
Kumbe hata akili huna, hayo unayosoma ya Mudi ulikuwepo wakati akiyasema ?
 
Ndevu ni sunna, hata Mtume wetu Muhammad S.A.W alifuga ndevu.

Ndevu ni uanaume bwana, wewe kama hukujaaliwa kuwa na ndevu kaa pending.
Akili za kushikiwa. Ina maana mtume angevaa vipedo na vitopu na sisi tungevaa Kama Suna? Angetembea bila nguo na sisi tungefanya hivyo maana ni Suna? Usikariri Kila simulizi utapotea jiongeze. Muhenga alisema,`akili za kuambiwa changanya na zako'.
 
Hujui unachokiongea ewe mgalatia.

Halafu iran sio waarabu, kasome tena
Sina haja ya kusoma Wala kujifunza chochote juu ya mwarabu Wala kiarabu. Wewe unayewatukuza waarabu endelea kujifunza kuhusu wao maana huwezi hata kuswali bila kutumia lugha Yao, na hivyo umekuwa Kama mtumwa kwa waarabu japo uko huru ndani ya nchi mzuri ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ila kumbuka serikali ilishapiga marufuku watu kwenda kufanya kazi za ndani kwa hao miungu yako.
 
Wagalatia bwana, ushakula mashonde nini mzee!!

Wakati wanafanya hiyo biashara ya utumwa, je! Ulikuwepo na ukayashuhudia?

Maprofesa wa kukaririshwa uongo mko vizuri😁
Unabisha kwamba waarabu hawakufanya biashara haramu ya Watumwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…